Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Tangazo la jana hawakulisikia? Msemaji wa Serikali Dr. Hassan Abas aliweka wazinutaratibu wa uingiaji uwanjani leo.

TAFAKURI
Kama maelezo mafupi Kama yale yanashindwa kutafsiriwa na watu wanaotaka kuchukua dola, hivi Mambo complex ya kuendesha nchi watawezana nayo kweli?
 

Naona tu ‘nyie, nyie nyie’ unatumia nyie wewe ukiwa kundi lipi?
 
acha wafu wazike wafu wao, kashughulike na wahaya wenzako na tetemeko. sasa hivi hata ziwa victoria limefurika, shughulika na hayo!
 
kama una maanisha wana chadema wataondoka, hapo kweli, lakini watu wataendelea kuwepo kama kawaida tena wengi sana
 
Nafikiri ni sahihi kuwazuia kwani wangeweza kuamsha attention ya watu kutoka kwenye msiba na kuanza kumshangaa mgeni kutoka Ubelgiji ambaye alipona kufa kwa shambulio la risasi 16. Kuna uwezekano pia watu wangeanza kumshangilia pasipo kujitambua. Very good kuwazuia.
 
Pole kwa kuabika na kuabishwa na uwapigiao upatu wa kuongoze. Utaratibu wa kuingia uwanja wa Taifa ulitolewa mapema jana. Kwa nini Chadema wamekiuka utaratibu huo!? Na bado una diriki kutamka /andika neno civilization!! Unajua uzito wa neno hili kweli. Ubaya wenu hamjui mnachokitaka.
 
Unazungumzia ATCL?
 
MaCCM na Magufuli yanateseka.

LISSU karudi nyumbani, hayaamini wanachokiona✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽
 
Subiri tutakuua wewe na wenzako ndipo CCM isalimu amri. Hao wazanzibar 40 waliouawa CCM wangekuwa na busara na kukubaliana na ukweli basi wasingekufa. Sasa ili CCM isalimu amri tutakuua wewe na wa aina yako ili wapatikane wengine 40 ndipo Chadema iwe kama Sefu kama akili zako zinavyowaza.

Akili za maccm bwana! Leo Magufuli anamsifia Mkapa ambaye alipokuwa hai alikuwa anasema hakuna kilichofanyika na sasa eti anainyoosha nchi hadi Mkapa akamsema hadharani! Leo anamsifia kwakuwa ni marehemu.
 
Kama ni kuchelelwa.. sawa tu..
Balitakiwa kuwahi mapema, sio kuingia kutafuta kiki.
A
Wangewahi isingekuwa kiki tena. Hivi kweli unafikiri viongozi wa Chadema hawajui utaratibu? Kama mimi kapuku tangu niko shule najua utaratibu Rais akishaingia huwa hakuna tena kuingia sembuse hawa viongozi wa Chadema.
 

Walikataziwa wapi? uliwekwa utaratibu kuwa viongozi na mabalozi waliandaliwa magari ya pamoja kwenda uwanja wa uhuru kwa shughuli za mazishi ya kitaifa ya mzee Mkapa. Na waliombwa sana wasitumie magari binafsi bali watumie hayo magari (mabasi) yaliyokuwa yameandaliwa. Lwa hiyo hawa ndugu wa Chadema walikatazwa kuingia kwenye hayo mabasi au walitaka special treatment waende na magari binafsi???
 
Aibu sana hii chadema sasa inazidiwa hata na Zitto mliyemuita msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…