Hawajazuiwa kuwa wao sio Watanzania, bali wamezui kwa kutofuata itifaki..Rais ameshaingia na anahutubia wao ndio wanaingia na msafara wao kwa mbwembwe.Kwa vile wao sio watanzaniaau?Aliewazuia hajielewi. Hapa duniani tunapita tu.
Joyce Mukya alikuwa bado hajamaliza kujiremba.Kwani wangeenda saa mbili asubuhi wangepungukiwa nini?
Aaah mkuu acha hizo, mbona Majaliwa alikuwapo jana? Wala geti halifungwi kwa kisingizio kwamba kuna kiongozi ameshatangulia kuingia.Hahah
Viongozi wa nchi walikuwepo? Kama waliwahi kufika kabla mkuu wa nchi ajafika itakuwa wameonewa ila kama wamefika baada ya rais ni sawa tu kuzuiwa.
Wameenda kabla Ya Rais au baada, kama ni baada Ya Rais imekula kwao.Kwenye post zangu za jana nilishauri Lissu kutokwenda kwenye huo msiba, ninajua vyema mtazamo wa serekali hii chini ya Magufuli dhidi ya Lisu. Hapo tatizo la kuzuiliwa ni Lisu, na kwa vyovyote vile angeingia hapo uwanjani lazima angeshangiliwa vibaya sana, jambo ambalo lingezua fedheha na Karaha kubwa kwa serikali.
Ni nani asiyejua kuwa Lisu na Magufuli kuwa hawaivi chungu kimoja? Hivi hao viongozi wa Chadema walitarajia serikali na ccm, wangekubali cdm wachukue point za mezani mbele yao?
Siasa za upinzani Tanzania ni za kijinga sana, utaratibu unajulikana ila unavunjwa makusudi ili tu kupata huruma ya raia wasio ujua utaratibu.Kwani wangeenda saa mbili asubuhi wangepungukiwa nini?
Nakubaliana na Wewe itifaki haikuzingatiwa. Leo walikuwa wanaaga kitaifa hivyo protocol lazima izingatiwe.Hawajazuiwa kuwa wao sio Watanzania, bali wamezui kwa kutofuata itifaki..Rais ameshaingia na anahutubia wao ndio wanaingia na msafara wao kwa mbwembwe.
Upuuzi mkubwa Sana huo.
Wameonyesha dharau kubwa Sana, na ni utomvu mkubwa wa nidhamu.
Siasa za upinzani Tanzania ni za kijinga sana, utaratibu unajulikana ila unavunjwa makusudi ili tu kupata huruma ya raia wasio ujua utaratibu.
Kama wamefika baada ya Mh. Rais kuingia ni sawa kuzuiliwa nje. Kiitikadi Mh Rais akisha ingia mahali gate lina fungwa. Poleni ndugu zangu wa Chadema. Wahini Mtwara kwenye mazishi. Na mjithidi pia kufuta protokali.Kwahiyo hakuna MTU yeyote aliyeingia baada ya Rais kuingia hapo uwanjani?
Itoshe kusema tu mwenyekiti wa ccm na watu wake ni waoga tu.
#2020
#RIPMzeeMkapa
Kuna utaratibu uliotangazwa Jana kwa viongozi wa Taifa na kimataifa kuhusu kwenda Taifa pia kuna vitu vingine havihitaji kujiongoza Bali kuongozwa vipi Chadema tulifuata utaratibu pia kwa familia yenye adabu Mtoto anatakiwa kufika nyumban mwisho saa 12 kabla baba hajaingia ukikuta baba ameshaingia tafuta mbinu nyingine ya kuingia ndani kistaarabu vinginevyo baba atajua umechelewa na fimbo zitakuhusu.Kujitangaza ni kwa hoja na hoja zinajibiwa kwa hoja. CCM msitugawe Tanzania ni moja tofauti yetu ni itikadi tu.
Kwahiyo hakuna MTU yeyote aliyeingia baada ya Rais kuingia hapo uwanjani?
Itoshe kusema tu mwenyekiti wa ccm na watu wake ni waoga tu.
#2020
#RIPMzeeMkapa