Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.

Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Mbowe aliongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mhe. Hashim Juma Issa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Mhe. Suzan Kiwanga na viongozi wengine waandamizi kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, Viongozi wa Kanda 10 za chama, Viongozi CHADEMAwa Mikoa, Wilaya na Majimbo mbalimbali nchi nzima.

Kutoka Uwanja wa Uhuru hapa, Dar es Salaam.

=====

UPDATES:

CHADEMA yaitaka Serikali itoe maelezo kwanini viongozi wake wakuu wamezuiwa kumuaga hayati Benjamin Mkapa!

Kiubinadamu na kihalisia kwanza huwezi kuzuia hisia za mtu na kama Viongozi wa Chadema akiwemo Ndugu lisu wangefanikiwa kuingia pale uwanjani Aminini kuwa utulivu wa fikra ungetoweka pale uwanjani wapo ambao wangeshangilia kwa nguvu na sidhani kama mtaa wa pili wangekubali kukaa kimya wangejibu mapigo sasa hapo ndio shughuli ingeanzia Mara mia wangewasili pale saa moja ingekuwa ahueni kuliko huo muda waliofika lile joto lingekuwa juu kutokana na Umaarufu na historia ya Ndugu yetu Tundu lisu Heri nusu shari kuliko shari kamili wote tuseme hili nalo litapita tugange yajayo.
 
Mbona baada ya kuzuiwa viongozi wa chadema bado watu waliendelea kuingia......

Kwa nn ccm wanaleta siasa kwenye kila kitu?
CHADEMA SIO VIONGOZI,CHADEMA NI TAASISI INAYOPAMBANA KUCHUKUA DOLA.
HIVYO VIONGOZI WAO WANAWAJIBIKA KUFUATA TARATIBU ZA KIDOLA.
 
Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.

Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Mbowe aliongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mhe. Hashim Juma Issa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Mhe. Suzan Kiwanga na viongozi wengine waandamizi kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, Viongozi wa Kanda 10 za chama, Viongozi CHADEMAwa Mikoa, Wilaya na Majimbo mbalimbali nchi nzima.

Kutoka Uwanja wa Uhuru hapa, Dar es Salaam.

=====

UPDATES:

CHADEMA yaitaka Serikali itoe maelezo kwanini viongozi wake wakuu wamezuiwa kumuaga hayati Benjamin Mkapa!

Kumbe ni magari yao ndiyo hayakuruhusiwa kuingia uwanjani. Yalitakiwa magari yaegeshwe nje ya uwanja na wao wapange mstari kuingia ndani ya uwanja kwenda kushiriki kumuaga mpendwa wetu.

Hili ni kwa security reasons. Wao waling'ang'ania waingie na msafara wa magari yao yasiyojulikana yalichokibeba. Hilo haliwezekani po pote duniani kwenye hafla kama hizo.

Tulikuwa na siku kadhaa hadi jana za kuingia kiholela uwanjani hapo na kumuaga mpendwa wetu. Leo ilikuwa siku rasmu yenye utaratibu rasmu kwa viongozi wa juu wa kitaifa na kimataifa. Siku hizo zote chadema hawakuonekana huko. Wangeonekana wa maana kama jana baada ya kuruhusiwa kumpokea Tundu wao airport wangeenda moja kwa moja uwanja wa uhuru kumuaga kipenzi wetu kabla ya kuendelea na safari yao ya huko Ufipa.
 
sasa ndio nini hii!? yaani mtu mzima huwezi hata kutofautisha shughuli za kuaga mwili na shughuli ya mazishi!? nikwambie tu mazishi ni kesho kijijini kwao lupaso sijui, hii ya bongo ilikua ni kuaga!
Ukiwa hujui itifaki, n dio hivyo tena, we mazishi unayojua ni kutumbukiza mwili kaburini. Hizi ni lugha za kiitifaki huwezi jua ndio maana mlienda kiholela.
 
Ngoja nisubiri kwenye kampeini kama kuna mtu ataingia uwanjani au sehemu yoyote wakati Rais atakua tayari yupo anaomba kura
INAMUHIMU GANI HIYO TAKA?
Mkuu kwenye familia yenu nani amefanikiwa kama Lissu?
Lissu kila sehemu anatumia majina halisi wewe ata ilo limekushinda....aaah
 
Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.

Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Mbowe aliongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Bara), Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mhe. Hashim Juma Issa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama, Mhe. Suzan Kiwanga na viongozi wengine waandamizi kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, Viongozi wa Kanda 10 za chama, Viongozi CHADEMAwa Mikoa, Wilaya na Majimbo mbalimbali nchi nzima.

Kutoka Uwanja wa Uhuru hapa, Dar es Salaam.

=====

UPDATES:

CHADEMA yaitaka Serikali itoe maelezo kwanini viongozi wake wakuu wamezuiwa kumuaga hayati Benjamin Mkapa!

Mbona nimesoma mahali Sugu anasema viongozi wa CHADEMA walichemka kwenye itifaki? Makene naye anasema vyake kwenye barua tumwamini nani sasa? Ila viongozi wa CHADEMA nao wanapenda shari kwani ilikuwa lazima kuingia na magari? Wange-park magari huko nje wangeendelea kuzuiliwa?
 
Infact, Chadema hawakuja msibani kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho bali walikuja kwasababu ya kutafuta kiki. Baada ya jana kupuuzwa, walitaka leo kuhamia msibani wakidhani Lissu atashangiliwa pale wananchi wakimuona.
Na wewe wacha akili utopolo, hiyo akili mwachie mamako huko kijijini hapa mjini njoo na akili ya binadamu timamu! Aliyewapuuza CHADEMA jana ni nani? Hukuona hiyo nyomi?
 
Je, walienda kwa dhania ya Kumuaga Rais Mstaafu Hayati Mzee Mkapa au walienda ili Kujitangaza zaidi Kisiasa na Kumuonyesha Mgeni Mwenyeji?
Iyo nia unakipimo cha kupima watu kujua wameenda kwa nia gani? Inadhani kila mmoja kaenda kumuaga au imelazimu tu kwenda
 
Back
Top Bottom