Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Trafiki wanapaswa kuwa eneo la kuongozea misafara, raia hawawezi ota kuwa kuna msafara.Kuingilia msafara ni kosa!
Huyo alikuwa gaidi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trafiki wanapaswa kuwa eneo la kuongozea misafara, raia hawawezi ota kuwa kuna msafara.Kuingilia msafara ni kosa!
Huyo alikuwa gaidi!
Maisha ni fumbo hakuna aijuaye kesho.Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Alikua kwenye mishe zake na Alikua anapaki bodaboda kando. Swala sio kwamba kwa Nini wamemgonga. Ila shida Ni Ile utu wa kwamba umesababisha ajali inahitaji uonyeshe ushirikiano wowote Hata wa kumjulia Hali muathiriwa. Unafikiri aliyemgonga aliwaza Nini, Kama sio kusema tu "achana nae" ndo maana wakaendelea na safari zao. Hakika utu umetoweka.Pole Sana ndg,Ila mjomba nae hajui kuwa zile chuma huwa zinasambaa barabara yote na spidi ya hatari maana ukijichanganya tu unakula tairi,whata if tukisema mjomba akitaka kuvamia kiongozi na msafara wake?
Ushindwe,Kuingilia msafara ni kosa!
Huyo alikuwa gaidi!
Kwa hiyo wewe ungefanya sherehe auKifo kimoja tu hakuna haja ya kupiga kelele, waziri ni mtu wa daraja la juu,serikali italipia gharama za mazishk
Watch outWatanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.
Hakika inaumiza Sana, Ila kwa kuwa sio ndugu yako itakua Ni ngumu kutoa Hata pole. Basi naomba wakuu wa jamiiforums Kama mkiona post Yangu, Jambo hili naomba lisifumbiwe macho. Raia wanabaki wajane na mayatima kwa sababu ya Mambo ya ajabu.
Mwezi wa 7 tu nimempoteza mtu sababu ya pf3 na leo napigwa Tena na tukio hili. Hakika inaumiza. Kupitia jamiiforums natumaini wahusika watapata taarifa na kubadili na kuboresha mienendo yao. Asanteni.
Hiyo ni nukuu ya shangazi,malkia chura aliyotoa kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya wakala wa chama chake anayedeal na utekajiKwa hiyo wewe ungefanya sherehe au
Watanzania wana roho mbaya sana...na sahv hawa jamaa juu ndy wanazidi kuwafanya wawe na roho mbayaWabongo bora hata Wazulu mkuu wana roho mbaya sana hao..
Sio lazima umtaje kwa jina,unaweza Hata kutaja ziara iliyokuwepo huko Kigoma siku hiyo...yeye mwenyewe anaweza hata kukuambia hakuwemo kwenye gari siku hiyo.au Hata akasema alisikia kboom ila hawakujua ni nini.Nimtaje jina alafu kesho... au bas tu
SawaHiyo ni nukuu ya shangazi,malkia chura aliyotoa kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya wakala wa chama chake anayedeal na utekaji
Msafara wa rais huwa unakua na kinga kisheria kama sijakoseaKawashtaki mahakaman
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama kumuangalia. Hivi ni kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka miaka 25 ijayo.