Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

Kwa jirani Hali sio shwari. Wahenga walisema ukiona mwenzio ananyolewa na zako Tia maji...
20200407-180544.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Wizara ya afya nchini Tanzania ikithibitisha kuwa wagonjwa wengine wawili wamepona ugonjwa wa Corona, huko nchini Kenya watu wengine 14 wamethibitishwa kupata maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo hivyo kuwa na idadi ya watu 172 wenye maambukizi ya Corona.
 
Sasa hawa walio yokea tz hawajatuachia mbegu huko waliko pita pita kabla yakufika kenya kweli
 
Pole pole tutaelewana tu..!
Mwenyezi Mungu atunusuru na janga hili jamani
 
Haijaelezwa kaingia kivipi, itakua labda alikuja kabla ya lockdon na kuwekwa karantini
Wageni wanne, mmoja Tanzania, mwingine Africa Kusini, na kutokea UAE na Marekani.
Mimi nina wasiwasi sana na watu wanao hudumia wale waliowekwa 14 days quarantine.
Wakikosa umakini wanaweza kutoa ugonjwa toka kwa mmoja wa watu wanao wahudumia na kuwapelekea wazima waliokuwa ktk jengo moja kama hotel au hostel.

Hili tuliangalie sana waafrika hasa TZ , KE na UG.
 
Waziri wa afya wa Kenya amesema katika muda wa saa 24 kumekuwa na ongezeko la wagonjwa 14 wa Covid 19 kutokana na sampuli 156 zilizopimwa.

Waziri huyo amesema miongoni mwa wagonjwa hao wapya 14 yupo mtanzania mmoja aliyeingia Kenya akitokea Tanzania.

Source ITV habari!
 
Back
Top Bottom