Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Really? Aisee unahitaji kufanyiwa utafiti wa ubongo. Sio bure. Hili ni janga la kimataifa, si unaongea tu. Tuzidi kujitahidi kufuata maagizo ya wizara ya afya na pia W.H.O sio kujipa faraja za kijinga.Washaanza kuwashwa na Tanzania
Vipi na yule aliyepatikana kule Mwanza ?
WasituzingueKeshakuwa mkenya huyo tayari...sisi kwetu wagonjwa 24 tuuu..
yep!
Walituombea premium tearsTunakoelekea sio kuzuri, ngojeni tu Mayowe ya misiba kutoka kila kijiji.
Nyie TZ si mnapika Takwimu ngoja KNY wawatemeshe ndoano,haya sasa mgonjwa wa covid19 katoka TZ ila TZ wagonjwa hawaongezeki.Washaanza kuwashwa na Tanzania
According to Mange si yo?kwenye uzi mwingine nimeandika, ninarudia kuandika tena na nitaendelea kuandika tirelessly.....
kuna tatizo mahali.
COVID-19 detection rate hapa Tanganyika ni ndogo sana ukilinganisha na nchi zinazoizunguka in demographically relative terms.
Tanganyika ndiyo the most populated kulinganisha na majirani zake, yet detection rate ipo very low. this beats logic in its entirety kwani si kwamba Tanganyika ina mikakati yoyote iliyo imara kuliko majirani zake hawa katika kupunguza maambukizi, hasha!
hii ina maana moja tu... kuwa Tanganyika kuna usiri mkubwa sana kuhusu janga hili, which's going to be a costly gamble in the long run.
kimahesabu, kwa kigezo cha detection rate ya Zanzibar yenye population ya wakaazi 700,000, kadirio sahihi la Corona cases huku Tanganyika ni wagonjwa zaidi ya 500 huko.
kuna tatizo mahali!
Kwa hio zile stori za kufunga mipaka ni urongo?
But si mumefunga mipaka? Why crying ?Tanzania mnafanya uzembe ambao utawagharimu sana, mgonjwa wa Corona anapatikana Mwanza, ameingia kutoka Dubai na kuzuga siku sita Dar, kisha akasafiri hadi Mwanzaa, kote huko anatema mbegu tu. Wengine wametokea Tanga na kwenda kuambukiza Zanzibar.
Sasa huyu ametokea Tanzania na kuja na kirusi huku Kenya.
Mange ndiye nani? mumeo?According to Mange si yo?