Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

Nchi yetu sasa imegeuka wazalishaji wa wagonjwa wa Corona, hata sishangai kwasababu hatupo serious enough kwenye kukabiliana na huu ugonjwa.

Sasa tuna export.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa afya wa Kenya amesema katika muda wa saa 24 kumekuwa na ongezeko la wagonjwa 14 wa Covid 19 kutokana na sampuli 156 zilizopimwa.

Waziri huyo amesema miongoni mwa wagonjwa hao wapya 14 yupo mtanzania mmoja aliyeingia Kenya akitokea Tanzania.

Source ITV habari!
kwenye uzi mwingine nimeandika, ninarudia kuandika tena na nitaendelea kuandika tirelessly.....

kuna tatizo mahali.

COVID-19 detection rate hapa Tanganyika ni ndogo sana ukilinganisha na nchi zinazoizunguka in demographically relative terms.

Tanganyika ndiyo the most populated kulinganisha na majirani zake, yet detection rate ipo very low. this beats logic in its entirety kwani si kwamba Tanganyika ina mikakati yoyote iliyo imara kuliko majirani zake hawa katika kupunguza maambukizi, hasha!

hii ina maana moja tu... kuwa Tanganyika kuna usiri mkubwa sana kuhusu janga hili, which's going to be a costly gamble in the long run.

kimahesabu, kwa kigezo cha detection rate ya Zanzibar yenye population ya wakaazi 700,000, kadirio sahihi la Corona cases huku Tanganyika ni wagonjwa zaidi ya 500 huko.

kuna tatizo mahali!
 
Tunakoelekea sio kuzuri, ngojeni tu Mayowe ya misiba kutoka kila kijiji.
 
Back
Top Bottom