Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

Msafiri kutoka Tanzania apatikana na Corona Kenya. Idadi yafikia 172

But si mumefunga mipaka? Why crying ?
Mpaka baina ya Kenya na Tanzania mpana sana, pia tunachangia makabila huko, ni vigumu kuufunga wote, lazima mtapata mpenyo wa kutuletea kirusi.
 
Mpaka baina ya Kenya na Tanzania mpana sana, pia tunachangia makabila huko, ni vigumu kuufunga wote, lazima mtapata mpenyo wa kutuletea kirusi.
Hahha hii ni baseless reason.
 
Hahha hii ni baseless reason.

Jitahidi uombe msaada wa nauli utoke Tandale, Dar na kufika maeneo ya mpaka wa Kenya na Tanzania, utajifunza kitu.
Mzungu alikuta watu wanaishi ndani ya jamii zao halafu kwa ubabe akachora mpaka katikati yao na kutenganisha ndugu wa kabila moja, ukoo mmoja, baba na mama mmoja......Wajaluo, Wamaasai, Wakuria, Wadigo na makabila mengi hapo mpakani tunachangia, wapo pande zote mbili, mzungu akasema wa huku waitwe Wakenya na wa huko waitwe Watanzania, akaacha maagizo kwamba tuwe tunaonana kwa misingi ya huo mpaka, tukikaa sehemu tunakunywa kahawa na Watanzania, japo sote weusi na tunaongea lugha moja ya Kiswahili lakini kuna hicho cha kuonana kama alivyoagiza mzungu.

Hakukua na kitu kinaitwa Tanzania au Kenya kabla ujio wa mzungu, hii hufundishwa kuanzia darasa la kwanza Kenya, sijui huko kama mna somo la aina hii.
 
Taarifa ya ongezeko la wagonjwa wa covid 19 nchini Kenya ambao waligundulika saba,mmoja wapo alisafiri Tanzania

Ni kwa mjibu wa taarifa ya wizara ya Afya Kenya

Je serikali ya Tanzania wamebainisha huyo mgonjwa wa Kenya alipita maeneo gani Tanzania na alichangamana na akina nani?

Hivi kwa nini serikali haifungi mipaka au lockdown?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lockdown gani Tanzania porous sana, labda iwe lockdown ya baadhi ya mikoa. Na hii ndio tujifunze huu utamaduni wa kufanya huduma zote muhimu kuwa concentrated in one area ndio hiyo lockdown inapofeli
 
Tangu corona iingie duniani kuna watu akili zimeisha kabisa. Lockdown ya nini? Na serikali itajuaje nyendo zako kama humu tu unatumia jina feki sembuse huyo mgonjwa aliyekutwa kenya(wao wamefunga mipaka kaingiaje huko?)
 
Tangu corona iingie nchini ni wiki ya ngapi hii haijasambaa kama mnavyotarajia?

Majirani walifunga zamani je maambukizi yamepungua?

Say no to lockdown
Nasemea kwetu sisi kwa nini Tanzania isifunge mipaka ili kuzuia movement ambazo zitasambaza virus

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimjibie. Mwenye akili zako muda huu ungekua maabara unatutafutia tiba ya corona badala ya kuwaza lockdown
Watu mna akili za ovyo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu corona iingie duniani kuna watu akili zimeisha kabisa. Lockdown ya nini? Na serikali itajuaje nyendo zako kama humu tu unatumia jina feki sembuse huyo mgonjwa aliyekutwa kenya(wao wamefunga mipaka kaingiaje huko?)
Watueleze vizuri wamefunga mipaka hao wanapita wapi?
 
Back
Top Bottom