Bora leo uwaambie hawa wanaumee wenzio ukweli ili akili iwakae sawa!!
Hakuna watu wanafiki na wabinafsi km wanaume wa Bongo, huwaga najiuliza huo urafiki na ushikaji una maana gani sasa km hakuna kupigana tafu au kukwamuana pale m1 anapokwamaa.
Kuna scenario hii,
Akati niko Chuo, kunae mates walikua na ushikaji, ilikua km mtu 3 yaan hawa walishibana haswaa, vimbweta wako wote, discssn walikua Pa1, hivyo yaan.
Sasa kunae m1 alipatwa na tatizo, wale wawili wakawa wanampa faraja ya maneno bila msaada, na akat mwenzao anataka msaada, achilia hawa washikaji zake, hawa wengine class mate, yaan wanaona mwanaume mwenzao anahitaji kukwamuliwa, lakini wanaishia kumpa maneno ya faraja tyuuh,
Kiukweli nilikua najisikia vibaya na kumuonea huruma mno yule kaka, ilifikia hatua nkaamua nimsaidie kwa kuwa tatizo lake lilikua ndani ya uwezo wangu, nika mkwamua kutoka kwenye tatizo na kuwa kwenye sawa na amani, maisha yakaendelea.
Sasa ikafika kuna wakati mdada alipata shida, alijaribu kuomba msaada, namna wanaume walivyokua wanajitoa kwake, Woiiiiih
Aseeeh nlishtukaa na kustaajabu sio km wale ambao walimuacha mwanaume mwenzao ahangaike.
Wanaume wa Bongo acheni ushikaji na urafiki wa kinafikii.