Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda mwingine anaamka usiku analia peke yake, namuonea huruma sana.
Huwa namfariji sometimes kuwa atakaa sawa, naombeni dawa ya kuondoa komwe jamani, hali si shwari hairidhishi.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Huwa namfariji sometimes kuwa atakaa sawa, naombeni dawa ya kuondoa komwe jamani, hali si shwari hairidhishi.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app