Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda mwingine anaamka usiku analia peke yake, namuonea huruma sana.

Huwa namfariji sometimes kuwa atakaa sawa, naombeni dawa ya kuondoa komwe jamani, hali si shwari hairidhishi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Tuone ukubwa wa hilo komwe, anaweza pata suluhisho la kupunguza. Mie nilipunguza ya mwana mmoja kitaa... Mpaka kesho yupo kama mzenji na anachimba mademu wengi tu
 
Pole sana ndugu. Kikubwa jikubali tu kuwa msafi, nyoa vizuri, vaa pendeza ,tupia pamba kali, saa, perfume ,.Usiwe mtu wa kununa nuna mbele ya mademu .

Mm kuna jamaa yangu anaupaa kichwani na bado kijana unamkosesha raha ila anavyojiweka nadhifu mademu kama wote
Wanafuata hela zake, mademu hawana formula, unaweza kuwa na kichwa kibaya, unanuna nuna, huna hela ya kutosha, hutupii pamba kali na ukawapata tena high class!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada wewe ni me au ke? kama ni ke malizaneni hukohuko muonee huruma mwenzio
 
Wanafuata hela zake, mademu hawana formula, unaweza kuwa na kichwa kibaya, unanuna nuna, huna hela ya kutosha, hutupii pamba kali na ukawapata tena high class!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Endelea kujidanganya.
Ushauri nimempa jamaa kutokana na alivyo jieleza,.Unadhifu unaficha mengi, Kama wewe ni mchafu mchafu uko rafu muda wote utapa wakuendana nae
 
Endelea kujidanganya.
Ushauri nimempa jamaa kutokana na alivyo jieleza,.Unadhifu unaficha mengi, Kama wewe ni mchafu mchafu uko rafu muda wote utapa wakuendana nae
Hao ndio wanachukuaga mademu wakali sasa, rough men, careless wanaishi wanavyotaka, wagumu n.k, ninyi mnaojifanya wazee wa kutupia ndio mnawapata manungayembe tu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sawa endelea kunuka kikwapa na hilo komwe mbona utawapata hadi basi .
Don't confuse things, unaweza kuwa rough kimavazi ila usinuke kikwapa. You can be rough but not dirty, nazungumzia u rough kama huo, sio unakuwa rough mara unatoa harufu za ajabu, nguo chafu n.k, hapana. Umeelewa?
 
Back
Top Bottom