Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

[emoji28],mkuu yule alimsaidia kumpa kampani,walikuwa wanapiga stories usiku kucha,hapakuwa na mahusiano,ilimsaidia tu jamaa kukaa bila kulia
Sidhani, nafikiri hako kasichana kalikuwa kamalaya Fulani ka chuo. Kwa nini hukumpa wewe company?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sidhani Sana Kama Wanawake Wanazingatia Komwe Katika Mahusiano.

Mwambie Huyo Mtoto Wa Miaka 23 Atafute Elimu Kwa Bidii Pamoja Na Pesa.

Yote Kwa Yote Ajitahidi Kuwa Gentleman Na Royal Hakuna Mwanamke Atakayekaza Uzi Hapo.
 
Lazma niliachie muone[emoji38]
Ili asijenigeuka siku akiliona vzuri live kwnye ubora wake
Watu na makomwe yao, kuna operesheni ya kuwakamata wote wenye makomwe nadhan n baada ya hili la ndugai kuisha [emoji38]
 
Watu na makomwe yao, kuna operesheni ya kuwakamata wote wenye makomwe nadhan n baada ya hili la ndugai kuisha [emoji38]

Mkuu mimi sina bana
Mbona untaka kunizibia bahati jaman
We naweee[emoji38][emoji38][emoji38]naomba ulale tafadhal ushaanza kuchafua upepo huku
 
Sidhani Sana Kama Wanawake Wanazingatia Komwe Katika Mahusiano.

Mwambie Huyo Mtoto Wa Miaka 23 Atafute Elimu Kwa Bidii Pamoja Na Pesa.

Yote Kwa Yote Ajitahidi Kuwa Gentleman Na Royal Hakuna Mwanamke Atakayekaza Uzi Hapo.
“Mwambie huyo mtoto atafute elimu na pesa” Mkuu umenifurahisha sana🙌🏽🙌🏽Umeongea kifaza sana!!
 
Watu na makomwe yao, kuna operesheni ya kuwakamata wote wenye makomwe nadhan n baada ya hili la ndugai kuisha [emoji38]

IMG_6794.jpg

Jumapili misa ya kwanza niko na sadaka yangu[emoji38]
 
Kwakweli hii hali ya maumbile hovyo inanitesa sana. Watu wajue tu kwamba hakuna mtu aliyechagua kua alivyo mtuvumilie tu haina haja kutunyanyapaa
 
Kwakweli hii hali ya maumbile hovyo inanitesa sana. Watu wajue tu kwamba hakuna mtu aliyechagua kua alivyo mtuvumilie tu haina haja kutunyanyapaa
Nawewe nae unakomwe ndugu, ? au matatizo mengine
 
Siyo ndugu yako wala nini niwewe mwenyewe"""Amna dawa ya kutowa komwe labda ufanye plastic surgery ila cha msingi tafuta ela maana wanawake wanazipenda mno
Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda mwingine anaamka usiku analia peke yake, namuonea huruma sana.

Huwa namfariji sometimes kuwa atakaa sawa, naombeni dawa ya kuondoa komwe jamani, hali si shwari hairidhishi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Komwe, kichwa kikubwa, weusi na ubaya wa sura. Acha tu
Pole sana ndugu. Kikubwa jikubali tu kuwa msafi, nyoa vizuri, vaa pendeza ,tupia pamba kali, saa, perfume ,.Usiwe mtu wa kununa nuna mbele ya mademu .

Mm kuna jamaa yangu anaupaa kichwani na bado kijana unamkosesha raha ila anavyojiweka nadhifu mademu kama wote
 
Back
Top Bottom