Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

Mwambie aache kulia lia, mie mbona nina ki komwe changu lakini nadunda na usiku nalala usingizi mzuuuuri..
 
Pamoja na kwamba hii ni chai...nadhani ni vyema watu tujikubali vile tulivyo!

Kuna watu wana kasoro tunazoziona na tusizoziona lakini hawalalamiki bali wanaishi nazo tu kisela...

Tumia muda wako kufuatilia ushuhuda wa watu hawa Nick Vujicic, Zion Clark, Henry Olusegun Adeola a.k.a Seal
 
Dawa ya komwe ni kupiga nyundo tu litarudi ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] joking

Komwe kwa huo umri sidhani kama kuna dawa pengine angekuwa kichanga,.Labda huko India anaweza fanyiwa surgery
 
Angekua mwanamke kuna hair styles za kuficha komwe. Kwa mwanaume ajikubali na hali yake
 
hapana alikuwa anatoka familia inajiweza ila kama unavojua pesa inaweza kuwepo ila amani isiwepo
Pole yake sana, sasa kumuunganisha na huyo demu ulikuwa na maana gani? Huoni kama ulikuwa unamtengenezea mazingira ya yeye kuliwa pesa zake na huyo demu?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Pole yake sana, sasa kumuunganisha na huyo demu ulikuwa na maana gani? Huoni kama ulikuwa unamtengenezea mazingira ya yeye kuliwa pesa zake na huyo demu?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
😅,mkuu yule alimsaidia kumpa kampani,walikuwa wanapiga stories usiku kucha,hapakuwa na mahusiano,ilimsaidia tu jamaa kukaa bila kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…