Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
- Thread starter
-
- #41
Sidhani, nafikiri hako kasichana kalikuwa kamalaya Fulani ka chuo. Kwa nini hukumpa wewe company?[emoji28],mkuu yule alimsaidia kumpa kampani,walikuwa wanapiga stories usiku kucha,hapakuwa na mahusiano,ilimsaidia tu jamaa kukaa bila kulia
hapana mkuu haikuwa hivo,mimi i was a busy man,sikuwa na muda wa kukaa HostSidhani, nafikiri hako kasichana kalikuwa kamalaya Fulani ka chuo. Kwa nini hukumpa wewe company?
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
We unalo komwe?Uwiii eeee
Mbona ni balaa jaman [emoji38]
Kweli tutafute hela
We unalo komwe?
Ingekuwa hivyo hivyo, ungetuwekea nywele mtindo wa kulificha.Namshukuru Mungu sina
Ningekua nalo sijui ingekua foshua[emoji38]
Ingekuwa hivyo hivyo, ungetuwekea nywele mtindo wa kulificha.
Watu na makomwe yao, kuna operesheni ya kuwakamata wote wenye makomwe nadhan n baada ya hili la ndugai kuisha [emoji38]Lazma niliachie muone[emoji38]
Ili asijenigeuka siku akiliona vzuri live kwnye ubora wake
Watu na makomwe yao, kuna operesheni ya kuwakamata wote wenye makomwe nadhan n baada ya hili la ndugai kuisha [emoji38]
“Mwambie huyo mtoto atafute elimu na pesa” Mkuu umenifurahisha sana🙌🏽🙌🏽Umeongea kifaza sana!!Sidhani Sana Kama Wanawake Wanazingatia Komwe Katika Mahusiano.
Mwambie Huyo Mtoto Wa Miaka 23 Atafute Elimu Kwa Bidii Pamoja Na Pesa.
Yote Kwa Yote Ajitahidi Kuwa Gentleman Na Royal Hakuna Mwanamke Atakayekaza Uzi Hapo.
Watu na makomwe yao, kuna operesheni ya kuwakamata wote wenye makomwe nadhan n baada ya hili la ndugai kuisha [emoji38]
Nawewe nae unakomwe ndugu, ? au matatizo mengineKwakweli hii hali ya maumbile hovyo inanitesa sana. Watu wajue tu kwamba hakuna mtu aliyechagua kua alivyo mtuvumilie tu haina haja kutunyanyapaa
Komwe, kichwa kikubwa, weusi na ubaya wa sura. Acha tuNawewe nae unakomwe ndugu, ? au matatizo mengine
Wakuu habarini, nina ndugu yangu toka kuzaliwa ana komwe, sasa ana miaka 23 now na anatamani sana kunyoa haircuts za kisasa, imekuwa changamoto kwake, jamani hivi dawa ya kuondoa komwe mwaifahamu? Yaani anakataliwa mno, hajawahi kukubaliwa na msichana mpaka umri huu. Yupo tu home hapa, muda mwingine anaamka usiku analia peke yake, namuonea huruma sana.
Huwa namfariji sometimes kuwa atakaa sawa, naombeni dawa ya kuondoa komwe jamani, hali si shwari hairidhishi.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu. Kikubwa jikubali tu kuwa msafi, nyoa vizuri, vaa pendeza ,tupia pamba kali, saa, perfume ,.Usiwe mtu wa kununa nuna mbele ya mademu .Komwe, kichwa kikubwa, weusi na ubaya wa sura. Acha tu
Huo mguu ni wako??Namshukuru Mungu sina
Ningekua nalo sijui ingekua foshua[emoji38]