Msaidieni huyu, miaka 23 hajawahi kukubaliwa

Tuone ukubwa wa hilo komwe, anaweza pata suluhisho la kupunguza. Mie nilipunguza ya mwana mmoja kitaa... Mpaka kesho yupo kama mzenji na anachimba mademu wengi tu
 
Siyo ndugu yako wala nini niwewe mwenyewe"""Amna dawa ya kutowa komwe labda ufanye plastic surgery ila cha msingi tafuta ela maana wanawake wanazipenda mno
Hela ninayo, komwe sina, nina mke na hajanipendea hela, mwisho kumpa ni 10k

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Wanafuata hela zake, mademu hawana formula, unaweza kuwa na kichwa kibaya, unanuna nuna, huna hela ya kutosha, hutupii pamba kali na ukawapata tena high class!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada wewe ni me au ke? kama ni ke malizaneni hukohuko muonee huruma mwenzio
 
Wanafuata hela zake, mademu hawana formula, unaweza kuwa na kichwa kibaya, unanuna nuna, huna hela ya kutosha, hutupii pamba kali na ukawapata tena high class!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Endelea kujidanganya.
Ushauri nimempa jamaa kutokana na alivyo jieleza,.Unadhifu unaficha mengi, Kama wewe ni mchafu mchafu uko rafu muda wote utapa wakuendana nae
 
Endelea kujidanganya.
Ushauri nimempa jamaa kutokana na alivyo jieleza,.Unadhifu unaficha mengi, Kama wewe ni mchafu mchafu uko rafu muda wote utapa wakuendana nae
Hao ndio wanachukuaga mademu wakali sasa, rough men, careless wanaishi wanavyotaka, wagumu n.k, ninyi mnaojifanya wazee wa kutupia ndio mnawapata manungayembe tu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sawa endelea kunuka kikwapa na hilo komwe mbona utawapata hadi basi .
Don't confuse things, unaweza kuwa rough kimavazi ila usinuke kikwapa. You can be rough but not dirty, nazungumzia u rough kama huo, sio unakuwa rough mara unatoa harufu za ajabu, nguo chafu n.k, hapana. Umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…