Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

great stuff.
 
Mwambie shemej aache mapepe mambo kama hayo atakiwi kukuambia wew akae na mume wake wasov msala wao, pia aache zarau
 
namsihi kaka yako afanye mazoezi hasa ya kukimbia (jogging) yatamsaidia kua na pumzi na angalau kudumu katika tendo.
 
Kuna aina ya wanawake ni wanavutia ukiwanao kitandani unatamani tu kufanya bila ya kuchoka.lakini kuna aina ya wanawake hawana ubunifu anachojua yeye ni kutega miguu tu,maneno ya kelo ,mchafu ,yaani hata u..ch..i wake anauona kama kidonda kuuosha.yaani mwanaume hata uwe lijali vipi utachoka tu.

MWAMBIE HUYO WIFI YAKO NAE AJIONGEZE MWAMBIE AWE MBUNIFU KWENYE VYAKULA NA KUMUANDALI, AWE MWEPESI KUJUA MODE YA MWENZA WAKE.AWE NA KAULI NA MAONGEZI MAZURI KWA MWENZIWE,
AWE NA MAPOKEZI MAZURI NA KUMFARIJI MWENZAWAKE ANAPOTOKA KAZINI.NK.

BIDII/KUJITUMA KATIKA MAPENZI SIO KWA MUME TU ,NI JUKUMU LA OTE.

KUDADADEKI.
 
Kweli kabisa. Huyo mwanamke hajatulia. Hapo ukute na mashosti keshawahadithia yootee ya chumbani.

Ushauri wa wataalamu unamfaa kaka mtu ili ajue nini cha kufanya kuiweka sawa ndoa yake
 
Nina dawa ya shemeji yako.tafadhali mkuu kwa heshima na tadhima naomba yake.....ataleta mrejesho
 
Dunia hii!

Hapa hapa kuna wanawake wanatamani waume zao wangekuwa wanapiga kimoja tu. Maana wanapewa gwaride kushinda la Uhuru.

Hapo ndipo utajua kuangalia compatibility muhimu.
 

Patient ni bro wangu , sasa namba ya shemeji ya kazi gani?
 
Apunguze kula chips mayai aanze kula bagimbi na uji chukuchuku ataleta majibu hapa
 
Ni kweli kabisa....wanawake wanatofautiana sana...
 
Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Tena bila Haya huambia mashemej zake,Angeona maji yamemzidia unaenda kumwambia bibi ndio wakuongea na mmeo
 
Wakiambiwa wawape waume zao vyakula na matunda yakuongeza mshawasha wanaona kama wanachezewa muvi
 
Daaaaaah mpe pole burazzzaaa ila kama vipj no PM kwa msaada zaid maana nina maelezo mengi ya kumpa.
 
Ye anataka afikishwe vipi yani? Nnachojua wanawake waliowengi, kufikishwa kwao ni kwa sababu wanafananisha na wadau wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…