Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

Nilikuwa kanisani siku moja kwenye mkutano wa wanawake. Msemaji mmoja akuekezea umuhimu wa wanawake kujitunza.

Alisema ukizoea ya Ali na ya Joseph, ukija kuolewa na Eric utaona hajui mapigo. Lakini kama mwanaume unaemjua ni Eric tu utaridhika na hali yake.
great stuff.
 
Mwambie shemej aache mapepe mambo kama hayo atakiwi kukuambia wew akae na mume wake wasov msala wao, pia aache zarau
 
namsihi kaka yako afanye mazoezi hasa ya kukimbia (jogging) yatamsaidia kua na pumzi na angalau kudumu katika tendo.
 
Kuna aina ya wanawake ni wanavutia ukiwanao kitandani unatamani tu kufanya bila ya kuchoka.lakini kuna aina ya wanawake hawana ubunifu anachojua yeye ni kutega miguu tu,maneno ya kelo ,mchafu ,yaani hata u..ch..i wake anauona kama kidonda kuuosha.yaani mwanaume hata uwe lijali vipi utachoka tu.

MWAMBIE HUYO WIFI YAKO NAE AJIONGEZE MWAMBIE AWE MBUNIFU KWENYE VYAKULA NA KUMUANDALI, AWE MWEPESI KUJUA MODE YA MWENZA WAKE.AWE NA KAULI NA MAONGEZI MAZURI KWA MWENZIWE,
AWE NA MAPOKEZI MAZURI NA KUMFARIJI MWENZAWAKE ANAPOTOKA KAZINI.NK.

BIDII/KUJITUMA KATIKA MAPENZI SIO KWA MUME TU ,NI JUKUMU LA OTE.

KUDADADEKI.
 
Kweli kabisa. Huyo mwanamke hajatulia. Hapo ukute na mashosti keshawahadithia yootee ya chumbani.

Ushauri wa wataalamu unamfaa kaka mtu ili ajue nini cha kufanya kuiweka sawa ndoa yake
Hiyo ndio shida ya kuoa magume gume ambayo yameshazowea mishindo. Hapo cha kufanya huyo mwanaume aende kwa wataalamu wa afya ili ajue namna ya kutatua tatizo lake.

Pia hiyo ni tabia mbaya sana ya mwanamke kutoa siri za chumbani na mumewe sababu mpaka hapo msaada hajaupata bado na bora angekaa nayo moyoni huku anatafuta njia ya kumsaidia mumewe.
 
Dunia hii!

Hapa hapa kuna wanawake wanatamani waume zao wangekuwa wanapiga kimoja tu. Maana wanapewa gwaride kushinda la Uhuru.

Hapo ndipo utajua kuangalia compatibility muhimu.
 
Nitumie no ya shemeji yako mkuu,, Kuna mambo yanapaswa kuongelewa baina ya DOCTOR NA PATIENT,,, yanapaswa kubaki siri yetu,,, pia KUPIGA ROUND ZAIDI YA MOJA,, haimaanishi ndy kumridhisha mwanamke,,, muhimu ni kufanya tendo kwa mda mrefu na ustadi mkubwa,, hata round Moja tu yatosha mwanamke kuomba MCHEZO UISHE.... lazima ujifunze kucheza na akili yake,, na lazima muwe mnawasiliana wakati wa tendo,, ili mfike pamoja safari yenu,, mara nyingi mwanaume anapaswa kuchelewa kufika,,, ni AIBU kubwa kwa DUME kutamba limekwenda round nyingi kwa muda mfupi..

Patient ni bro wangu , sasa namba ya shemeji ya kazi gani?
 
Apunguze kula chips mayai aanze kula bagimbi na uji chukuchuku ataleta majibu hapa
 
Kuna aina ya wanawake ni wanavutia ukiwanao kitandani unatamani tu kufanya bila ya kuchoka.lakini kuna aina ya wanawake hawana ubunifu anachojua yeye ni kutega miguu tu,maneno ya kelo ,mchafu ,yaani hata u..ch..i wake anauona kama kidonda kuuosha.yaani mwanaume hata uwe lijali vipi utachoka tu.

MWAMBIE HUYO WIFI YAKO NAE AJIONGEZE MWAMBIE AWE MBUNIFU KWENYE VYAKULA NA KUMUANDALI, AWE MWEPESI KUJUA MODE YA MWENZA WAKE.AWE NA KAULI NA MAONGEZI MAZURI KWA MWENZIWE,
AWE NA MAPOKEZI MAZURI NA KUMFARIJI MWENZAWAKE ANAPOTOKA KAZINI.NK.

BIDII/KUJITUMA KATIKA MAPENZI SIO KWA MUME TU ,NI JUKUMU LA OTE.

KUDADADEKI.
Ni kweli kabisa....wanawake wanatofautiana sana...
 
Du shemeji yenu ni mcharuko, mambo kama hayo hayasemwi nje ukizidiwa unajikojolesha mwenyewe mradi mume wa kukupa watoto unae ndani. Alifundwa wapi huyo mke?
Tena bila Haya huambia mashemej zake,Angeona maji yamemzidia unaenda kumwambia bibi ndio wakuongea na mmeo
 
Hiyo ndio shida ya kuoa magume gume ambayo yameshazowea mishindo. Hapo cha kufanya huyo mwanaume aende kwa wataalamu wa afya ili ajue namna ya kutatua tatizo lake.

Pia hiyo ni tabia mbaya sana ya mwanamke kutoa siri za chumbani na mumewe sababu mpaka hapo msaada hajaupata bado na bora angekaa nayo moyoni huku anatafuta njia ya kumsaidia mumewe.
Wakiambiwa wawape waume zao vyakula na matunda yakuongeza mshawasha wanaona kama wanachezewa muvi
 
Daaaaaah mpe pole burazzzaaa ila kama vipj no PM kwa msaada zaid maana nina maelezo mengi ya kumpa.
 
Ye anataka afikishwe vipi yani? Nnachojua wanawake waliowengi, kufikishwa kwao ni kwa sababu wanafananisha na wadau wengine.
 
Back
Top Bottom