Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Halafu hawa ni watu tunaambiwa wanaitumikia serikali? Wanafanya mambo ya kishetani kuilinda serikali? Basi na serikali itakuwa ya kishetani hiyo!
Ee mwenyezi MUNGU kwa nini unaruhusu haya yatokee kwenye nchi hii iliyokuwa mfano bora wa uchaji wa moyo safi?
Serikali ni ya CCM, Walawiti ni wa serikali hivyo hao walawiti ni wa CCM pia, maana kama A ni sasa na B na B sawa na C basi C ni sawa na A
 
Inasemekana msaidiz wa Benard Membe Allan kiluvyakatekwa
 
Atakuwa ameenda mahala kutafuta maisha huyo..
 
Ni kweli kabisa Mkuu, anzia kwa Dr. Ulimboka utapata jibu.
 
Kuna watu wa nakuwa viongozi ila hawajiamini. Sasa kutekana ndio nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…