King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
More to follow
Tunakutegemea Kigogo kutupa feedback za watekaji.