IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
ni kwamba hao wanaokuja na silaha inawezekana ndio wale waliomvmia yule tajiri wa zakaria alipowazidi nguvu kwa kuwachapa risasi ndio wakajisalimisha kuwa ni maafisa ila wakikuzidi nguvu wanaitwa wasiojulikana
Siasa za hovyo zilizoasisiwa na diktetaYetu macho.
Mtu hana impact yoyote ya maana kwenye GDP anatekwa! Bora zama za ukoloni, ngozi nyeusi na nyeupe walizichapa kupinga uonevu. Mtu unataka kwenda Mbeya unapitia Mombasa!Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
More to follow
Maigizo yenu yatashindwa tu, na apotee jumla, hana faida yoyote ile hapa duniani na mbinguni kwa ujumla wakeWakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
More to follow
"Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao"Aisee, sasa imekuwa CCM wenyewe kwa wenyewe, hongera CCM
Anasubiriwa kule TwitterAtakua man of the mechi tena?View attachment 1148526
Kwaiyo swahiba wangu Abdul Nondo hana marinda?[emoji44][emoji1381]Wanapokuwa wametekwa mbali na mambo mengine wanalawitiwa huku wakirekodiwa. Sasa huwa wanatishiwa kabla ya kuachiwa kwamba wakiongea lolote kuhusu hilo kundi hiyo clips ya kulawitiwa inaachiwa mitandaoni. Si unajua jinsi ilivyo dhahama kulawitiwa bila ridhaa yako kisha hiyo picha kuwekwa hadharani?
Unachekesha, wewe ni bulicheka wa kwenye gazeti la sani hapo zamaniHuko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...
Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Hili la kutekwa kusurubiwa na watu wasiojulikana limekuwa ni jambo la kawaida kwa awamu hii ya 5 je hao watu wasiojulikana hawjulikani kweli? ''Kidnapping by unknown gangs it is becoming a business as usual we are smelling a rat''Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
More to follow
Tunaanza kuua ndugu zako KwanzaTatizo mnawalea lea hao watu uweni ndugu zao
Noma na iwe noma
What if ndio yeye katekwa?ha haAnasubiriwa kule Twitter
Kumekucha.utekaji umehamia ccm rasmi.soon usishangae sikia msiba au polepole katekwa. Lugola alitakiwa fukuzwa kazi Mara moja na siro
Jipe moyoWajinga wanamdanganya kuwa haiwezekani. Lakini CCM ni chama na chama ni vikao, sidhani kama chama kizima kina watu aina ya POLEPOLE pekee hivyo hawawezi kuamuwa kama ya ANC.
Mbeki alikuwa mkongwe ndani ya ANC lakini walitengua kigoda itakuwaje CCM ishindwe na wakuja?
Waenda kumtupa kijijin kwao kisha mambosasa atakuja kusemà amejiteka
Allan ana akili Za Kitoto Sana, Allan Nimepishana Nae Hapa Segerea Na Kagari Kake Halafu Anasema Ametekwa?Atekwe na membe mwenyewe ili mradi tuheshimiane hapa mjini
Namba lazima tuzisome wote
Huyo allan awamu iliyopita alikuwa hagusiki
Unataka video zao wakiwa wanazibuliwa mitaro ziende hewani ?Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue