Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Itakuwa yule mwenye matako manene ndio kafanya utekaji sijamtaja mtu mie ohoo
 
Taarifa ya utekaji ni chini ya masaa mawili. Kwa hiyo inawezekana pia

Taarifa inasema ametekwa jana usiku. Sasa kama kigogo alkua active two hours itakua bas wamemwachia simu atumie. Maana mpaka leo saa 3 asubuh alikua na ishu za standard gauge.
 
Ngoja tuwe wapole tukisubiri busara za kigogo twittani.
 
Kwani msaidizi wa Membe na yeye ni mainz animal?
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Jiulize ni kwanini siku Roma anahojiwa Waziri wa Habari na Michezo aliacha yote akawa mpambe wa Roma?
Kama kweli ana mapenzi na Roma mbona hasuluhishi ndoa yake iliyovunjika?
 
Utekaji huu unaletwa kwenu na wasiojulikana kwa hisani ya JPM
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Mdude Chadema aliwataja kabisa kuwa polisi, Zachariah yeye aliwajeruhi kwa risasi vijana wa usalama wa Taifa.

Bado utawaita wasio julikana?
 
Hivi ni vyama viwili vyenye watu tofauti kabisa ANC iko kwa ajili ya maslahi ya Taifa CCM iko kwa ajili ya Maslahi ya CCM kushika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…