Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Taarifa ya utekaji ni chini ya masaa mawili. Kwa hiyo inawezekana pia

Taarifa inasema ametekwa jana usiku. Sasa kama kigogo alkua active two hours itakua bas wamemwachia simu atumie. Maana mpaka leo saa 3 asubuh alikua na ishu za standard gauge.
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Jiulize ni kwanini siku Roma anahojiwa Waziri wa Habari na Michezo aliacha yote akawa mpambe wa Roma?
Kama kweli ana mapenzi na Roma mbona hasuluhishi ndoa yake iliyovunjika?
 
Wakuu,

Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.

Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.

Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.

Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.

More to follow
Utekaji huu unaletwa kwenu na wasiojulikana kwa hisani ya JPM
 
Katweet dakika 20 zilizopita
IMG_20190707_121022.jpeg
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Mdude Chadema aliwataja kabisa kuwa polisi, Zachariah yeye aliwajeruhi kwa risasi vijana wa usalama wa Taifa.

Bado utawaita wasio julikana?
 
Wajinga wanamdanganya kuwa haiwezekani. Lakini CCM ni chama na chama ni vikao, sidhani kama chama kizima kina watu aina ya POLEPOLE pekee hivyo hawawezi kuamuwa kama ya ANC.
Mbeki alikuwa mkongwe ndani ya ANC lakini walitengua kigoda itakuwaje CCM ishindwe na wakuja?
Hivi ni vyama viwili vyenye watu tofauti kabisa ANC iko kwa ajili ya maslahi ya Taifa CCM iko kwa ajili ya Maslahi ya CCM kushika dola.
 
Back
Top Bottom