Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
"Wakitumaliza sisi watarudi kwenu" TUNDU LISSU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndiye mhusika mkuu ''main character'' anaye onekanaSio kweli, ila wanaomtumia ndio untouchable. Na hata BM hapambani na Musiba bali wanaomtuma Musiba
Ameanza Kumchana Max na JF nzima kwamba wana_leak taarifa kwa TISS.Atakua man of the mechi tena?View attachment 1148526
Kumbe tumeanza kuwafahamu watu wasiojulikana mnanikumbusha usemi wa kutesa kwa zamuItakuwa yule mwenye matako manene ndio kafanya utekaji sijamtaja mtu mie ohoo
Kila mmoja anapigwa na butwaa na Nchi hii ilikofikia.Duh hii nchi sasa
Taarifa ya utekaji ni chini ya masaa mawili. Kwa hiyo inawezekana pia
MKUU UMENUNUA FRONTPAGE YA JF NINI? MAANA KILA UZI JOTOJOTO HUKOSI FRONTPAGE.Aisee, sasa imekuwa CCM wenyewe kwa wenyewe, hongera CCM
Na hyo anavyo kwepa kodi wanamlia timing[emoji23][emoji23][emoji23] (joke)MKUU UMENUNUA FRONTPAGE YA JF NINI? MAANA KILA UZI JOTOJOTO HUKOSI FRONTPAGE.
KIDDING😀😀
Tunaipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kulifanikisha hili
Jiulize ni kwanini siku Roma anahojiwa Waziri wa Habari na Michezo aliacha yote akawa mpambe wa Roma?Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Utekaji huu unaletwa kwenu na wasiojulikana kwa hisani ya JPMWakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.
Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.
More to follow
TulishasemaWameanza kukulana
Namuonaga anacheza taarab pale Magomeni na kina delicious. Hakosagi taarab show za yule mwanamke muimba taarab kama dume. Anaependa kujishauaHivi uyo musiba ni nani Selikalini!!?
Mdude Chadema aliwataja kabisa kuwa polisi, Zachariah yeye aliwajeruhi kwa risasi vijana wa usalama wa Taifa.Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Hivi ni vyama viwili vyenye watu tofauti kabisa ANC iko kwa ajili ya maslahi ya Taifa CCM iko kwa ajili ya Maslahi ya CCM kushika dola.Wajinga wanamdanganya kuwa haiwezekani. Lakini CCM ni chama na chama ni vikao, sidhani kama chama kizima kina watu aina ya POLEPOLE pekee hivyo hawawezi kuamuwa kama ya ANC.
Mbeki alikuwa mkongwe ndani ya ANC lakini walitengua kigoda itakuwaje CCM ishindwe na wakuja?