Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

Anasimlia:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, UNAAMBIWA MWAMBA ALIKUWA AKIPITIA NYARAKA ZA MIKATABA MIBOVU AKIWA OFISINI MEZANI. AKICHOKA KUKAA UNAAMBIWA ALIKUWA ANAJILAZA KWENYE ZULIA AKIWA AMEPIGA NNE MIGUU YAKE 🤣 HUKU AKIWA AMEFURA HASWA! AKIWAHURUMIA ANAWEZA KUTOKA OFISINI SAA 9 NA AKIFIKA NDANI UNAAMBIWA HAONGEI NA MTU YEYE MOJA KWA MOJA KITANDANI NA KUPIGA NNE HUKU AKIENDELEA KUPITIA NYARAKA. ASUBUHI YAKE SASA!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Naomba nijibu swali hili, tangu lini mwanamke akawa na akili ?!! Tukiachana na porojo za wanaharakati ukweli uko wazi kama uchi wa mbuzi, wanawake ni dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe na hata wao wenyewe wanalijua hilo.
 
sisi tuliowahi kumsogelea walau hata mara moja,ndio tunamjua kabisa huu sio uongo.

ndio maana nikiona cenge moja linamsema vibaya natamani nilipake mafuta.
Punguza kisirani na matusi,,,tunajua una khasira mnoo lakini jaribu na jitahidi sana kuzikontroo nawe pia kujikontroo kwa kuwa itakusaidia sana sana kwa afya mwili,,nafsi na akili pia!!
 
Mw
Anasimlia:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, UNAAMBIWA MWAMBA ALIKUWA AKIPITIA NYARAKA ZA MIKATABA MIBOVU AKIWA OFISINI MEZANI. AKICHOKA KUKAA UNAAMBIWA ALIKUWA ANAJILAZA KWENYE ZULIA AKIWA AMEPIGA NNE MIGUU YAKE 🤣 HUKU AKIWA AMEFURA HASWA! AKIWAHURUMIA ANAWEZA KUTOKA OFISINI SAA 9 NA AKIFIKA NDANI UNAAMBIWA HAONGEI NA MTU YEYE MOJA KWA MOJA KITANDANI NA KUPIGA NNE HUKU AKIENDELEA KUPITIA NYARAKA. ASUBUHI YAKE SASA!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Mwisho wq siku akafa mapema!
 
Nasikianmama mama yeye mkimwekea nyimbo za taarabu basi hagusi kitu na ukitaka umfurahishe basi umwambie kuna mshono mpya umeingia mjini..!
 
Sukari uliyoiweka humu ni nyingi sana...

Mlikuwa mnamfungulia na Google Translate..!?
Aiseeee, eti? Ni kiswahilii tu alikua hajui vizuri, ila english imesimama mwanangu, ukitilia maanani mikataba yote ilikua inaandikwa kiswahili
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabla hata hana dalili ya kufa alisema kabsa kuwa amejitolea maisha yake kwa ajili ya tanzania
Shida wabongo mkipakwa mafuta mnalainika mimi sijawahi mkumbuka kwasababu sikuwahi kuletewa unga wa ugali mlangoni kwangu naona maisha yapo vile vile
 
Ila malezi ya wagalatia ni ya kikatili sana,
Yaani unafundishwa na kufundisha kabisa ukatili? Unaua binadamu wenzako kisa madaraka na kuwajaza kwenye viroba kweli? Hayo ndio malezi ya wala ngurruwer
 
Back
Top Bottom