Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Acha uzu mwanamke asiyekuwa na akili ni mama yako mzazi ambaye amekosea kukuzaa baada ya mimba kugoma kutokaNaomba nijibu swali hili, tangu lini mwanamke akawa na akili ?!! Tukiachana na porojo za wanaharakati ukweli uko wazi kama uchi wa mbuzi, wanawake ni dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe.
Haina uzee ,na tayari uko brain washedNa hapo umeongelea binti wa pwani to be specific sasa huyu tayari uzee umebisha hodi, kupewa hicho kiti ni mzigo mzito.
sisi tuliowahi kumsogelea walau hata mara moja,ndio tunamjua kabisa huu sio uongo.
ndio maana nikiona cenge moja linamsema vibaya natamani nilipake mafuta.
Hii picha ya chini ndo picha ya mwisho kukalia hiko kiti maskini
Kupaja hinna tuBen
Malezi ya mabint wa kiislam ,unaona anapata huo muda
Nilikuwa cmkubali Mh Magu kwenye mambo flan flan ila kiukweli yule ndio alikuwa rais wetu shida kuna wajinga flan walimzunguka.Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
ChaiNukuu:-

Na yeye akakubali kuzungukwaNilikuwa cmkubali Mh Magu kwenye mambo flan flan ila kiukweli yule ndio alikuwa rais wetu shida kuna wajinga flan walimzunguka.
Sometimes huwa inatokea ila the man was a genuineNa yeye akakubali kuzungukwa
Alikuwa anatimiza wajibu wake maana nasi tulikuwa tunatimiza wa kwetu kwa kumtunza yeye, mke wake na familia yake yote.sisi tuliowahi kumsogelea walau hata mara moja,ndio tunamjua kabisa huu sio uongo.
ndio maana nikiona cenge moja linamsema vibaya natamani nilipake mafuta.
Yeye ndie aliwapigia kura?Acha uzuzu wewe kwahiyo mpaka kwenye uhuru wa kumchagua kiongozi? Wabunge hawa waliopitisha mkataba ni zao la nani?
😭😭😭March 2021 Taifa lilipoteza mtu makini sana
Alilitoa amri ya hao watu kupigiwa kulaYeye ndie aliwapigia kura?
Naomba nijibu swali hili, tangu lini mwanamke akawa na akili ?!! Tukiachana na porojo za wanaharakati ukweli uko wazi kama uchi wa mbuzi, wanawake ni dhaifu kuliko hata udhaifu wenyewe.
Hivi magaidi akina Alshabab,Osama,nk ni wagalatia?Ila malezi ya wagalatia ni ya kikatili sana,
Yaani unafundishwa na kufundisha kabisa ukatili? Unaua binadamu wenzako kisa madaraka na kuwajaza kwenye viroba kweli? Hayo ndio malezi ya wala ngurruwer
Kwahiyo huyo msaidizi wake alikuwa naye hadi chumbani kwake saa 9 usiku! Bosi anaingia chumbani aongei na mtu anapanda kitandani analala anakunja nne anaendelea kusoma!Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
[emoji120]sisi tuliowahi kumsogelea walau hata mara moja,ndio tunamjua kabisa huu sio uongo.