Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Sasa wewe msaidizi wake au kuna mengine zaidi? Maana mpaka chumbani upo nae?

Nasikia kasoma seminari ya kikatoliki yule, eti kweli?
 
images (3).jpeg

Alikuwa bora ila kwenye mambo mengine alizidisha ujuaji kwenye vitu asivyovijua
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Lile lilikuwa na shetani halisi
 
Wewe una kitu unakitafuta ututoe nje ya mada.malezi ya wagalatia yanaweza fikia hata punje moja ya ukatili wa wale vijana wenu boko haram,alshababu na vikundi vengine vinavyotumia mwamvuli wa dini yenu kuwafanya ndugu zetu wengine hapa Afrika na kwengine duniani wasikae kwa amani.mada hapa ni kuwa mwamba alikuwa mtu makini hayo mengine ukitaka kumchafua anzisha uzi wako usituletee makobazi yako hapa
Hao boko, alshababu, aluqaida wote ni wagalatia tu, hakuna mafundisho yale kwenye uislam,
Uislam ni amani ukiona mtu anafanya vinginevyo huo sio uislam

Kuhusu mada mie nimemjibu aliesema malezi ya waislam si mema
Kuhusu magu,ameenda hayupo tena na hatarudi, mema au mabaya atakutana nayo huko alipo, hapa walio hai waendelee na zao zikifika nao wataenda
 
Hivi magaidi akina Alshabab,Osama,nk ni wagalatia?
Yes ni wagalatia, uislam haujafundisha na haufundishi ugaidi, magaidi ni wale wote wanaoua wenzao bila haki, so hata hao uliowataja na hata wazungu hasa usa na waingereza ni magaidi pia
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Rais kutaka kutembea kwa miguu kutoka Ikulu mpaka bandarini ni dalili ya kichaa.
 
Yes ni wagalatia, uislam haujafundisha na haufundishi ugaidi, magaidi ni wale wote wanaoua wenzao bila haki, so hata hao uliowataja na hata wazungu hasa usa na waingereza ni magaidi pia
Wewe ni empty set, mngejua western ni magaidi msingekimbilia kujazana Ulaya na Us.
 
Bora huyo kichaa mkuu kuliko huyu mkarimu wa kugawa mali za urithi
Kwa nini Watanzania wengi wanapenda false dichotomy?

Kwa nini mnapenda kulinganisha Magufuli na Samia badala ya kuwalinganisha wote na the best possible president?
 
Kwa nini Watanzania wengi wanapenda false dichotomy?

Kwa nini mnapenda kulinganosha Magufuli na Samia badala ya kuwalinganisha wote na the best possible president?
Htuna best hadi sasa.
Tuna wadhaifu wenye nafuu na wabovu zaidi
 
Back
Top Bottom