Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe msaidizi wake au kuna mengine zaidi? Maana mpaka chumbani upo nae?Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Unaambiwa hapo alikuwa anasoma mikatabaView attachment 2677453
Alikuwa bora ila kwenye mambo mengine alizidisha ujuaji kwenye vitu asivyovijua
Lile lilikuwa na shetani halisiNukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Hao boko, alshababu, aluqaida wote ni wagalatia tu, hakuna mafundisho yale kwenye uislam,Wewe una kitu unakitafuta ututoe nje ya mada.malezi ya wagalatia yanaweza fikia hata punje moja ya ukatili wa wale vijana wenu boko haram,alshababu na vikundi vengine vinavyotumia mwamvuli wa dini yenu kuwafanya ndugu zetu wengine hapa Afrika na kwengine duniani wasikae kwa amani.mada hapa ni kuwa mwamba alikuwa mtu makini hayo mengine ukitaka kumchafua anzisha uzi wako usituletee makobazi yako hapa
Yes ni wagalatia, uislam haujafundisha na haufundishi ugaidi, magaidi ni wale wote wanaoua wenzao bila haki, so hata hao uliowataja na hata wazungu hasa usa na waingereza ni magaidi piaHivi magaidi akina Alshabab,Osama,nk ni wagalatia?
Rais kutaka kutembea kwa miguu kutoka Ikulu mpaka bandarini ni dalili ya kichaa.Nukuu:-
Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!
Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!
Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!
Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!
Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.
Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Kuna kichwa gani chs kuelewa kitu hapo?Maza yeye hasomi chochote wala haelewi nini kipo humo ndani
Bora huyo kichaa mkuu kuliko huyu mkarimu wa kugawa mali za urithiRais kutaka kutembea kwa miguu mpaka bandarini ni dalili ya kichaa.
Wewe ni empty set, mngejua western ni magaidi msingekimbilia kujazana Ulaya na Us.Yes ni wagalatia, uislam haujafundisha na haufundishi ugaidi, magaidi ni wale wote wanaoua wenzao bila haki, so hata hao uliowataja na hata wazungu hasa usa na waingereza ni magaidi pia
Kwa nini Watanzania wengi wanapenda false dichotomy?Bora huyo kichaa mkuu kuliko huyu mkarimu wa kugawa mali za urithi
Htuna best hadi sasa.Kwa nini Watanzania wengi wanapenda false dichotomy?
Kwa nini mnapenda kulinganosha Magufuli na Samia badala ya kuwalinganisha wote na the best possible president?
You totally missed the point.Htuna best hadi sasa.
Tuna wadhaifu wenye nafuu na wabovu zaidi
Tatizo shuleMaza yeye hasomi chochote wala haelewi nini kipo humo ndani
Alikuwa mzalendosisi tuliowahi kumsogelea walau hata mara moja,ndio tunamjua kabisa huu sio uongo.
ndio maana nikiona cenge moja linamsema vibaya natamani nilipake mafuta.
Ana masters sema wazanzibar ni wavivu sn kusomaTatizo shule
Ni kweli aseeKuna kichwa gani chs kuelewa kitu hapo?
Huu wimbo wako bado tu watu hawajauelewa,sijui kwa nn bhana!?.Huyuhuyu aliyekuwa anawatisha wananchi wasipowachagua wabunge wa CCM wasahau maendeleo katika majimbo yao
Wabunge waliopitisha mkataba wa DPW ni wabunge waliowekwa kimchongo na jiwe