Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

Watanzania wengi ndo tuna akili za namna hii, hatutumii common sense na mtu yoyote akiwa macho makavu kuongea tunamuamini.
Bunge linalopitisha sheria na mikataba ya hovyo ni hilo hilo lililoasisiwa na jpm.
Nq bado wanamuita jembe wabunge walio pita bila kupingwa lakini leo hii ndio hao hao
 
Wabongo ukiwadanganya kidogo tu wamelainika na ndio ticket wanaoyo tumia wanasiasa kufanya maigizo
Bandarini jpm katika utawala wake kaenda kufanya peep show karibu mara mbili na bado hakupaweza , ila kuna watu wanaamini yale maigizo.
 
Ndiyo maana alikufa
 
Banadarini jpm katika utawala wake kaenda kufanya peep show karibu mara mbili na bado hakupaweza , ila kuna watu wanaamini yale maigizo.
Mimi.sijawai mkubali uyo JPM
 
Tuna ambiwa alikuwa anawajibika mpaka masaa ya ziada
Siku ina masaa 24 tu, haina masaa ya ziada.

Julius Nyerere alikuwa anakesha anasoma documents huku anasikiliza BBC.

Balozi Ben Mashiba kaniambia.

Paul Sozigwa kaniambia.

Balozi Dr. Augustine Mahiga kaniambia.


Watu wa Ikulu ya Nyerere hao.

Kaka mkubwa Poppy Hatonn alikuwapo Ikulu na Msasani, atashuhudia.

Lakini hii haijawahi kutumiwa kama propaganda point.
 
Nasikianmama mama yeye mkimwekea nyimbo za taarabu basi hagusi kitu na ukitaka umfurahishe basi umwambie kuna mshono mpya umeingia mjini..!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unakejeli sana dah! umanichekesha saana
 
Alikuwa makini lakini alikuwa katili
Mkuu mm nafanana sana na jamaa ila nimejiweka mbali na siasa....

Pia hata sehemu yeyote nikipewa kusimamia Huwa wanasema Huyu jamaa ni JPM,

Simuonei mtu, simdharau mtu, msikivu sana na mnyenyekevu sana na very humble na kujishusha sana....

Ishu kwenye misimamo na maamuzi, uvivu,uzembe, ujanja ujanja,tamaa, ubinafsi, seduction ,uzandiki,figisu,usaliti, majungu,ushirikina, utapeli, rushwa, uonevu, upendeleo izo mambo huniletea shida sifungamani navyo.........😊😊😊😊
 
Wewe ni empty set, mngejua western ni magaidi msingekimbilia kujazana Ulaya na Us.
Wazungu ni magaidi,

Kwenda kwao ni kutafta maisha tu, mbona nyie warundi mumejazana hapa tz na hatuwasemi?

Mbona wamasai wamejazana pale zenji na wanalelewa vyema tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Magufuli alikuwa raisi mzuri lakini kasoro zake zilifunika uzuri wake kwangu, kwenye uongozi kuna kitu kinaitwa reference. Ndo maana nchi inakuwa na katiba Magufuli alianzisha matendo/mitindo ya uogozi ambayo itakuja kurudiwa na viongozi wajao wengi na kuharibu nchi yetu.
 
Mjapani mweusi yule alikuwa si mchezoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Mtu wa kazi.
 
Magufuli nisamehe kwa kukufikiria vibaya...wewe ni Simba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…