Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake 🤣 huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Alifeli sehemu ndogo sana ya Democrasia basi angeruhusu mawazo mbadala angekuwepo hadi leo,maana ingekuwa rahisi sana kuwafahamu wabaya wake.
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Hiyo Mikataba kama ilikuwa imeandikwa Kwa Kiingereza Jiwe hakuwa anaijua hiyo Lugha, usitudanganye
 
Nchi ikiwa na Rais ambaye Shule yake ni ya kuunga unga tu utegemee madudu ya ajabu kabisa kufanyika katika Nchi hiyo.

Lakini MWAMBA aliipenda Nchi yake kwa kiwango cha juu sana, lakini pia aliipigania Tanzania mpaka tone lake la mwisho.
RIP, JPM, Mwamba wa Afrika.
 
Hii nchi haijawahi kupata Raisi wa hovyo kama Jiwe
 
Imagine, Bunge la Hovyo tulilonalo ni Kwa Sababu ya Jiwe, aliweka Mabumunda ili Aya Manipulate na Kubadili Katiba ili Sultani wa Milele
Yh sure

Kafanya media zimekuwa chawa wa CCM hazina uthubutu tena wa kukosoa serikali
 
We can see the difference apumzike kwa amani apate ijara ya ya kazi yake njema ya kuwapenda Watanzania.
 
Imagine, Bunge la Hovyo tulilonalo ni Kwa Sababu ya Jiwe, aliweka Mabumunda ili Aya Manipulate na Kubadili Katiba ili Sultani wa Milele
Nadhani unaitukana serikali iliyopo madarakani indirectly! Kwa kifupi raia ni wale wale! Waliopo bungeni ndio hao hao serikalini! In short, unaunga mkono hoja ya uozo uliopo serikalini 100% indirectly!
 
Nukuu:-

Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha!

Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa mfano lenye ukakasi, kisha mnaitwa wote mnaohusika mnagawiwa hizo nyaraka na mnaamliwa mzisome nukta kwa nukta aya kwa aya. Baadae mnaulizwa, je kuna pahali mmeona labda kuna kosa? Sasa, ole wenu msipaone palipo na kosa alipopaona yeye!

Kaka, kwa nyepesi nyepesi tu, Unaambiwa mwamba alikuwa akipitia nyaraka za mikataba mibovu akiwa ofisini mezani. Akichoka kukaa unaambiwa alikuwa anajilaza kwenye zulia akiwa amepiga nne miguu yake [emoji1787] huku akiwa amefura haswa! Akiwahurumia anaweza kutoka ofisini saa 9 na akifika ndani unaambiwa haongei na mtu yeye moja kwa moja kitandani na kupiga nne huku akiendelea kupitia nyaraka. Asubuhi yake sasa!!!!

Kuna siku alivurugwa na kutaka atembee kwa miguu hadi bandarini wakamzuilia getini!

Ndugu yangu, itoshe ufahamu yule jamaa alikuwa hachengeki akiamlia jambo.

Mfano huu mkataba mnaoupigia kelele, aiseee....!
Mchapa kazi
 
Back
Top Bottom