Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Yule alhadi alipomuombea duwa MAGUFULI kulikuwa kimyaa. Jana kapokelewa na masister kimyaa wengine mishono inapwita pwipwipwi
 

Maalim apuuze barua hiyo. Tunabakiza wiki moja wakitaka tuanze sasa tupo tayari pia.
 
MBONA MREMA AMEPANDA JUKWAA LA MAGUFULI NA KUMWOMBEA KURA? HAWA NEC WANAMAMBO YA AJABU SANA
 
Msajiliccm na NECCCM Tumeccm ni Sumu ya Taifa kwa sasa na hawa ndiyo watasababisha machafuko kwa mipango yao ya kufanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu Mkoloni kaburu tokea chato
 
Unafikiri kuna sheria yoyote, basi? Ni uonevu tu wa mchana kweupe. Watu wameamua kufanya udhalimu kwa ajili ya vyeo, mchana kweupe bila aibu.
NECCCM Tumeccm na Msajiliccm ni Sumu ya Taifa
 
Ndio naskia leo kuwa ukiwa mgombea huruhusiwi kusafiri
Tumeccm NECCCM Msajiliccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM Mkoloni kaburu mweusi
 
Ya Mrema aachiwe yeye
Mtukufu mwenyekiti wa CCM yeye ni ruksa kusimama popote kugawa Rushwa kwa kutoa pesa kwenye miradi kipindi cha kampeni kinyume cha Sheria, CCM wao wapo free kubaka Sheria lakini wapinzani wanaonewa na kunyanyaswa na Msajiliccm na NECCCM Tumeccm
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Maalim apuuze barua hiyo. Tunabakiza wiki moja wakitaka tuanze sasa tupo tayari pia.
Awashitaki Msajiliccm na NECCCM kwenye mahakama ya ICC kwa mbinu zao za kupelekea kuleta machafuko
 
Sheikh Ponda Issa Ponda azidi kipigilia Misumari Jeneza la CCM
👇
 
Kwa kifungu kipi Cha sheria, aache dabo standard barua ya mrema je ipo wapi, wanatumika na mtu anaekuja watumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…