Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Usahaulifu na uchumia tumbo ndivyo vinaongoza watendaji wengi
 
Hawa ni Matapeli wa Kisiasa tu...Rais ni Dr.Magufuli na Dr.Mwinyi wengine hawana cha kutuambia
 
PIGA KURA HALAFU NENDA KWAKO KALALE MATOKEO UTAPATIWA BILA SHIDA YOYOTE
 
ni kuzingatia za vyama vyao ACT wazalendo hairuhusu mgombea au mwanachama kumuunga mkono mgombea wa chama kingine akifanya hivyo anakuwa kajivua uananchama

View attachment 1607397
Haya tuseme hoja yako ni sawa. Tuoneshe sehemu ya katiba ya TLP inaporuhusu kupanda jukwaa moja na mgombea wa chama kingine na pia kuvalishwa kofia ya chama kingine.
 
Wewe ndo una hoja za kitoto zaidi. Tume hawawezi kufanya unachofikiria sababu boss wao keshafanya hayo wanayoyabainisha. Hii inaifanya tume kukosa nguvu za kusimamia unachokihofia.
 
Hawa bendera fuata upepo wanajua hilo? Hawajui kwamba ukisimamisha mgombea wa urais halafu ukaenda kumpigia kampeni mgombea wa chama kingine ni sawa na kufanya coalitions.
Hata kumuombea kura mgombea asiye wa chama chako ni sawa na kufanya coalision. So Mlema yuko mlemle.!!
 
Wa
Watanzania viongozi wanatudharau kweli sijui hata wanatuonaje, wanaona kama hatuelewi chochote kinachoendelea katika nchi hii πŸ˜‚πŸ˜‚ sema Waafrika ni Waafrika
 
Kaandika barua wakati anakabidhi barua katoka tu magufuli nae yupo na mrema jukwaa moja, huyu msajili anaagaika na vitu vidogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…