Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

Ni ngumu sanaa kuitoa Ccm madarakani... mwalimu wangu wa constitutional law aliwai kuniambia Ccm wanabebwa na katiba ambayo ilitungwa kwa copying and pasting kutoka katiba ya tanu....
Siyo kwa Kizazi hiki Mkuu. Watu wamebadilika mno na wako tayari kwa lolote ilimradi wanatetea haki zao bila kuvunja Sheria.
 
Ni wapi Chadema walipoungana na ACT, yaani unazidiwa akili na kifaranga kilichototolewa leo hii,
Au unadhani watu wote ni mazuzu kama ulivyo...

kama hujui jambo uliza, sio kuandika mavi hapa...

Kenge wewe
 
We nyani tu[emoji867][emoji867]
#JPM 5 tenaaaa!
 
MaCCM akili zao azinaga akili kabisa.
Yalimuongopea Mtupoli atashinda Uchaguzi kwa midege, ikapiga hela.
CCM ya Magufuli inaogopa kivuli chake. Kushirikiana ili kura zetu upinzani zisigawanyike inamtisha sana Magufuli.

#NIYEYE #LISSURAIS2020
 
Usiwe mjinga!Kuungana sio kusema tu mdomoni!Mnatakiwa kupeleka vielelezo NEC kuonesha mnaungana na mnaungana katika nyanja zipi!
Sasa huo muungano wa CCM na TLP upo kisheria?
Kushirikiana sio tatizo maana ushirikiano wenu sio rasmi!
 
Hapana, TLP walikuwa nje ya muda, sheria inataka angalau miezi 3 kabla ya uchaguzi, na in kwa muungano na sio ushirikiano.msajili kajichanganya
 
Siyo kwa Kizazi hiki Mkuu. Watu wamebadilika mno na wako tayari kwa lolote ilimradi wanatetea haki zao bila kuvunja Sheria.
Kuna kauli moja inasema kama nchi haikumwaga damu wakati wa kupigania uhuru.... Raia wake ni tofauti na nchi zilimwaga damu kipind hicho... Tutaongea JF tutamaliza ila kuamua bado sanaaa watanzania tunajijua....
 
Unaweza leta ushahidi wa document ya makubaliano yao ya kuungana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…