Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Siyo kwa Kizazi hiki Mkuu. Watu wamebadilika mno na wako tayari kwa lolote ilimradi wanatetea haki zao bila kuvunja Sheria.Ni ngumu sanaa kuitoa Ccm madarakani... mwalimu wangu wa constitutional law aliwai kuniambia Ccm wanabebwa na katiba ambayo ilitungwa kwa copying and pasting kutoka katiba ya tanu....