Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

Nadhani jamaa ndio anaongoza kwa kunenepa Afrika Mashariki na kati,

Ama kweli madaraka matamu sana.
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
naongezea kwakusema ccm huwa wanakuwa kama shamba la alizeti
 
Hivi hayo masweta nani kawadanganya wanapendeza?😁!

Mpangilio wa rangi ni mbovu mno,it wasn't necessary kuweka marangi yote ya bendera.

Nguo yenye rangi zaidi ya mbili wengine kuivaa ni taboo!

Kachumbari si kachumbari, Christmas tree si Christmas tree😁!

At least ACT hizo shati nyeupe zinawatoa.
 
Kafanya vzr mm sikufikiria hivo hakika Jacob atabaki kua legend[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Tatizo la Jockob ni mtemimtemi ndo maana siasa zake za kihuni.na wewe unaemuunga mkono ni mkorofi tu wewe.
 
Acha waongee siasa ndo ajira yao hawana kazi nyingine mjini apa.

Msiumie na maneno ya wajasiliamari wa kisiasa, umia pale ambapo hajatekeleza majukumu yake jimboni au kasababisa ww kushuka kiuchumi
 
Hahahaaaa.........!
Siasa si uadui.
Ila katika siasa kuna kupeana changamoto na kuoneshana suluhisho mbadala juu ya maamuzi ya mambo anuwai yahusuyo nchi.
Utani ni sehemu ndogo katika maisha halisi.
Bila shaka ninyi mmewafanyia mengi ya kuudhi. Watz tunawashukuru kwa kuendelea kuwavumilia.
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Unamkemea mtu kwa kupotosha na sio kusema ukweli
 
tunakoelekea sasa ukifananisha maziwa na tui la nazi itakuwa kosa kisheria
 
Back
Top Bottom