Angekuwa na msimamo kama huu kwenye chaguzi zote za vyama ningekuwa wa kwanza kumuunga mkono na mguu. Lakini naona umakini wake unakuja inapohusika CDM tu, huko kwingine anakuwa pono zaidi ya samaki pono. Kwa kifupi huyu mutu ni MNAFIKI.Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Msajili ni mwanaccm?!
Anavunja katiba ya nchi gani? Hatuendi kwa katiba, pesa za msendeleo siku hizi hutolewa na rais kama unavyoona.Hana chama cha kisiasa na kama ana chama anavunja katiba ya nchi.
Werwe ccm..... tuwaachie wenyeweMsajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga
Job description yake unaijua???? Itafute kwanza ndo uje uandike pumba zakoMsajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga
Amfute kazi Jaji!Ngoja nimwambie Bashiru akufute kazi
Mkuu hilo ni wazi kuwa walimshindwa kwa kila mbinu waliojaribu. Sasa njia pekee iliyobaki ni kuhakikisha anapoteza nafasi ndani ya chama. Hilo nalo linaonekana kufeli.Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Kwani una wasiwasi wa katiba kuvunjwa?!Mkuu hilo ni wazi kuwa walimshindwa kwa kila mbinu waliojaribu. Sasa njia pekee iliyobaki ni kuhakikisha anapoteza nafasi ndani ya chama. Hilo nalo linaonekana kufeli.
Ohooo! Usimtanie atamfuta kazi kweli.Amfute kazi Jaji!
Huwa nawaheshimu sana majaji lakini huyu jamaa kichwani mwake umejaa ugoro tu,wala hana jema lolote analoweza semaKwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Kwani tamisemi siyo sehemu ya serikali?Uchaguzi wa serikali za mitaa unasimamiwa na Tamisemi bwashee!
Sawa kabisa wito mwema kama vile alivyosimamia haki ya vyama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaaMsajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga
Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Hatutakubali wagombea wanyanyaswe sababu ya ubabe wa kina Lema
Tutazipiga