Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ujinga mtupu, wakithubutu kufanya chochote kile wajue tutajiunga CCM na CCM hawatakaa kamwe wawe na amaniYale yale ya Mwendazake!
Hapa tu-conect dot na uamuzi wa kulifungia gazeti la Uhuru.
Huyu domo kaya si mara ya kwanza kuwaita rais waongo halafu yeye ndio muongo.Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.
Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
Ukweli ulio wazi ni kuwa ccm na vyombo vyake vyote saidizi ndio wanaotuharibia taifa letu,siku tukiamka kutoka usingizini ndio tutakapo yabaini haya, sio polisi, sio nec, sio mwewe,sio karani wa vyama, wote wametanguliza maslahi binafsi na matumbo yao mbele na siomaslahi ya taifa hili.Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.
Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania.
Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la kumkashifu Rais kuwa amesema "Uongo"!!
Domokaya mwenyeweHuyu domo kaya si mara ya kwanza kuwaita rais waongo halafu yeye ndio muongo.
Yale yale ya Mwendazake!
Hapa tu-connect dots na uamuzi wa kulifungia gazeti la Uhuru.
Nahisi inatafutwa sababu ya kuifuta CHADEMA huko mbeleni, ila naamini Mungu kamwe hatoruhusu hilo litokee.
Tuendelee kuamini- kwa wanaoamini- Mama anapotoshwa?
Naiona CHADEMA ikipata support ya dunia kama ilivyokuwa ANC wakati wa utawala wa Makaburu huko Afrika Kusini.
Vinatakiwa vifutwe vyote kiundwe chama kimoja maana hakuna chama chenye hati miliki ya nchi.vyama vyote vina sifa sawa za usajili.tofauti tu nikwamba ccm imerithi nchi toka ukoloni lakini hiyo sio sababu yachenyewe kua mmiliki wa nchi.Kwanini wanahangaika hivyo,kwanini wasifute vyama vya upinzani tubaki na chama kimoja.
Covid 19 Bungeni kwa uongo wa CCM mbona hakuwa upande wa chama kinachowatambua.
Mtungi futa vyama vya upinzani