Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

I'm very glad you noticed that

There can be one progressive vision at any given time!

Two visiom equals division
 
Ma profesa wa UDOM na UDISM ndio utawakuta kwenye siasa



Sua wako Bize na tafiti na elimu
 
Bila ushiriki wa chama kubwa la upinzani haya ni maigizo kama uchaguzi ilipoweka serikalini hii haramu madarakani
 
Bila ushiriki wa chama kubwa la upinzani haya ni maigizo kama uchaguzi ilipoweka serikalini hii haramu madarakani
Chama kikuu cha upinzani ni kipi au bado upo usingizini .halafu hao wanasaccos huwa mnajiona wajuaji kweli kila kitu mnakijua ninyi kila saa kulalamika mkiitwa kwenye vikao mhim mnatingisha kibiritii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanapenda sana kucheza na akili za Watanzania!! Eti Mukandala ni mwenyekiti! Loh! Asalaleee!! "Uchafuzi wa Oktoba 2020 ulikuwa huru na wa haki" - Mukandara Nov 2020. What a joke!
Mbona Jussa hayumo? Wangemwita Lisu na mbatia watu wangeona tupo serious.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio "WADAU WALIOHUDHURIA KKAO" mlitaka awateue watu gani? Ndi madhara haya ukisusa wenzio walaa😂😂😂
 
Hao ndio "WADAU WALIOHUDHURIA KKAO" mlitaka awateue watu gani? Ndi madhara haya ukisusa wenzio walaa😂😂😂
Si kweli kuwa walioteuliwa wote walihudhuria kikao, kwani Shekhe Alhaji Juma wa Dar alihudhuria?
 
Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara wangewaambia nini wananchi.
Ukiangalia vyama vyote vunavyoburuzwa na ccm ktk mchakato huu ni vyama njaa na ambavyo havina ustawi wowote zaidi ya kuishi kwa kuombaomba serikali/ccm tena kwa kupiga magoti.
Chama ni Chadema pekeeeeeee
 
Hiki kikosi kimeundwa kwa ajili ya kubariki uovu wa ccm kutawala kitakavyo, ole wenu enyi vyama chumia tumbo!
 
Halafu ati huyu Mutungi ni jaji... Jaji ambae kutafsiri sheria kwake ni tatizo. Mikutano ya hadhara iko kikatiba, tume ya uchaguzi hadi sasa katiba ina mpa fursa Rais kuteua wajumbe. Leo ati kikosi kazi.. Aibuuu
 
Tume huru ya uchaguzi bila katiba mpya ni sawa na kuziba mashimo ya panya kwa mikate!

Maana Tanzania uchaguzi ni mfumo sio tume tu.Nguvu ya Rais na wateule wake, polisi, TISS, Jeshi, Tume, Tamisemi na wengineo lazima viangaliwe kwa pamoja kupitia katiba mpya.

Hiki kinachoitwa ni Tume huru ya uchaguzi ni changa la macho kwa wajinga ambao ndiyo wengi kwenye hii nchi.
 
Ni kweli kabisa, lakini hebu kidogo tuwaache kwanza wajifunue wajikanyage, ili waturahisishie kazi tuliyoianza ya kutafuta katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…