Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

Huyu msajili hata kumjadili hapa ni kupoteza muda. Tokea 2016 si yeye ni mtu mwingine tofauti kabisa. Jinsi alishughulikia suala la CUF na uenyekiti wa Lipumba na Leo anavoiandama Chadema utaona ana kitu kinamsukuma.
 
Sasa kama wametumia njia ya amani kama hii ya kuulizana kwa kawaida ya mdomo tu, imekuaje sasa wanamteka huyo mzee...?

Yaani hii serikali ni ya kipumbavu sana, yaani wanamtaka mtu aliyetenda kosa la kisheria ajieleze wakati huohuo tayari imeshaamua kutumia njia ya kishenzi kumshughulikia...!

Wana akili kweli hawa...????
 
Huyu msajili mgeni Nchi hii kipindi Cha kina Heri James , Polepole,Kibajaji na kina KIHONGOSI KENANI wanatoa lugha za chuki aliwahi kuwaansikia barua CCM?

Chadema wasimjibu Kama walivyo mpotezea barua ya mwanzo,Kama vipi aifute.
 
Kifutwe tu hicho chama cha wahuni wakilala wanawaza uhuni wakiamka wanawaza Fujo sasa chama kilikuwa kinageuzwa cha kigaidi


Tanzania bila ugaidi inawezekana
Kifutwe tu hicho chama cha wahuni wakilala wanawaza uhuni wakiamka wanawaza Fujo sasa chama kilikuwa kinageuzwa cha kigaidi


Tanzania bila ugaidi inawezekana
CHADEMA kina usajili wa kudumu kwenye mioyo ya watanzania sijui anaifuta kwenye makaratasi,huyu mutungi naye anatumika vibaya na ccm
 
Ni u-emature mkubwa kudhani kuwa msajili anauelipwa na serikali atatenda kinyume na serikali inataka.
Ccm kwa kushirikiana na Tiss wana mpango wa kuanzisha chama kingine cha upinzani baada ya kujua kwa sasa Cdm ni imani. Wanajua hata waanzishe chama kingine hatakitavutia ikiwa bado Cdm ipo. Ccm wanajua fika hawana uwezo wowote wa kushindana tena na cdm kupitia box la kura, na wanaona aibu kushindwa na cdm kwenye box la kura. Hivyo wanaona bora waiue Cdm kwa hila, kisha waanzishe chama kingine chenye maelekezo ya ccm.

Inshort ccm inataka kuanzisha ccm nyingine kwa mlango wa nyuma, baada ya kujua kwa sasa wao hawana mvuto wowote tena kwa umma.
 
Sawa mtafanya siasa kampeni uchaguzi kwenye hiyo mioyo yenu [emoji23][emoji1787]

Umma umeshawachoka,mtatoka hata kwa machafuko ama umma kuwasusia kama unavyoendelea sasa. Kwani hata sasa si kuna chaguzi za marudio, umeona Cdm wanataka kushiriki popote? Umeona wananchi wana mwitikio wowote wa kushiriki hizo chaguzi za kishenzi na kihayawani?
 
Watanzania wajinga Wanapungua kila uchao. Wochi out! Siwafichi! Nasema uongo ndugu zangu?
 
Msajili mwenye kadi ya ccm anateuliwa na ccm
 
Barau ndio nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…