Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barau nyingine CHADEMA, ataka wajieleze

Sawa mtafanya siasa kampeni uchaguzi kwenye hiyo mioyo yenu [emoji23][emoji1787]

ndiyo aifute chadema kama anachuki binafsi kwani kisheria hawezi kuifuta hana sababu ya msingi kuifuta yeye anafikiri chadema ni kama ofisi ya shina,zee linazeeka vibaya lile
 
Hapa ili kujua kama msajili anatenda haki kwa vyama vyote, tuorodheshe kauli tata za viongozi wa CCM dhidi ya vyama vya upinzani tumlundikie mezani ili tuone kama atawaandikia barua kama hiyo ya Chadema.
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Ofisi inaendeshwa na mwendawazimu. Ajaribu kufuta, aone. Ndipo atakapojua kuwa kumbe siyo ana akili ndogo bali punguwani kabisa.
 
Hivi CCM waliandikiwa barua pala makada kadhaa kwa muda tofauti waliongelea kutolewa uhai kwa wanaopinga utawala uliopo mfano Aliyekua Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mwingine yule wa Iringa?
 
Jaji Mtungi anatakiwa kustaafu Kwa mujibu wa sheria , anafanya yote haya ili aendelee kuwa mtumishi wa UMMA Kinyume cha sheria za utumishi wa UMMA , ndio maana anajikomba Sana akidhani ataonhezewa Muda.
Kuna siku ntakuja na madudu yake tangu tulipokuwa Naye Kule Iringa Mahakamani, na alivyokua anampiga mchumba wake hadharani kwenye bar mbalimbali na ambavyo ameitumia vibaya ofisi ya msajili Kwa kuiba fedha za UMMA mpaka mkaguzi wa ndani akaacha KAZI Kwa sababu ya ufisadi wake Mutungi.
 
Hivi CCM waliandikiwa barua pala makada kadhaa kwa muda tofauti waliongelea kutolewa uhai kwa wanaopinga utawala uliopo mfano Aliyekua Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mwingine yule wa Iringa?
Heri James na Kenan Kihongosi ambao Leo mmoja ni DC Ubungo na mwenzake NI Katibu Mkuu wa Uvccm
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !

Si akifute? Msituangaishe
 
Siku akitokea mpinzani wa kweli asiyeogopa kuonja sumu kule CHADEMA
Siku hiyo ndio itakua ukombozi wa upinzani wa nchi hii

CHADEMA wa leo mnadumaza na kuua upinzani
 
mbona hajamkanya mwenyeiti wa ccm wa matamshi yake wamba mwaka 2025 ni zamu ya wanawake
kuweka Rais wao,
Haoni kabisa kwamba wa kauli hiyo ni ya kuligawa taifa kwa misingi ya kijinsia?
Huyu jaji ni very bougs
Kuna watu wengine ukiangalia morphology ya vichwa vyao unapata kilichopo ndani ya kichwa husika.
 
kinachowaumiza zaidi endapo wakiifuta chadema ni pesa za misaada wanazopewa na mabeberu kwa pazia la demokrasia bandia.
Wathubutu kuifuta chadema ili waone Kama inapendwa au la Yani ni Kama unabet kupita na kijinga Cha Moto kwenye tank la petroleum ukijaribu kudadisi Kama la morogoro au tukuyu litajibu au halitajibu .......?
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Viongozi wa CHADEMA wako frustrated na mdororo wa chama chao

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Katiba yetu inasemaje pale Msajili anapoonekana kupendelea chama kimoja?

Nashauri vyama vyote vya upinzani vifutwe na ofisi ya msajili ifutwe.
 
Ifutwe tu tukiwambia waingie barabarani wao wanaingia twita na space yasarungi
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Baada ya kuwagomea kile kikao uchwara wamesala kama Mbogo??😅😅
 
Huyo Msajili wa vyama vya siasa, moja kwa moja, amethibitisha pasipo shaka yoyote kuwa ame-side upande wa CCM.

Yeye anatambulika kama mlezi wa vyama vya siasa, sasa ni kwanini atoe kauli ya vitisho vya aina hiyo kwa chama cha siasa cha Chadema pekee??

Mbona hatujamuona atoe kauli kama hizo kwa CCM, pamoja na "madudu" yake mengi inayoyafanya??

Aifute Chadema, kama anao huo ubavu!
Full Stop
Tulivyokataa kile kikao chake roho inamuuma.

Wakakae na Chauma na TLP kwani kikao si cha vyama vya siasa??
 
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"

Aidha Msajili amenukuu kifungu cha 9(2)(f) cha sheria ya vyama vya siasa ambacho kipo mahususi Kwa ajili ya vyama ambavyo vina usajili wa Muda na havijapata usajili wa kudumu ndio anataka kuitumia kuihukumu Chadema ambayo ina usajili wa kudumu.

Msajili anatafuta njia ya kuifutia Chadema usajili , atakuwa anafanya haya Kwa maslahi ya Nani au ndio Ile Gang unataka kuitumbukizanchi kwenye machafuko ?

Nimeambatanisha barua husika kutoka ofisi ya msajili wa Vyama !
Huyu Babu wa Kihaya ni taahira
 
Back
Top Bottom