Acha kiwewe ndugu.Utaondoka utakiacha kipo.Kifutwe tu hicho chama cha wahuni wakilala wanawaza uhuni wakiamka wanawaza Fujo sasa chama kilikuwa kinageuzwa cha kigaidi
Tanzania bila ugaidi inawezekana
We mwenyewe hujakomboa familia yako,halafu unataka wengine wakomboe nini sasa!Shida ya taifa ili sio chadema shida ni ccm ambao hadi leo wameshindwa likomboa taifa toka kwenye umasikini. Sera mbovu
Hivi huyu msajili ofisini kwake huwa ana mafaili mengine zaidi ya fail la CDM kweli????Mutungi ameshindwa kabla ya kuanza
Kama lile punguani liloondoka 17.3.2021Kila mtu ataondoka dunia ni mapito
Kwa hiyo ni jaji MagumashiHuyu ni Jaji ambaye Hana rekodi ya kuwahi kuandika hukumu, sasa sijui alikuwa anasimamia kesi gani !!!!
Kila mtu utaondoka ila 17.3.2021 ni sikukuu kwa wapenda haki wote humu nchiniHata gaidi mbowe ataondoka wewe manka utaondoka
Kalifufueni sasa ..... hovyoKila mtu ataondoka dunia ni mapito