Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Watu wazima ila hawajui chakuongea huyo akiwa na cheo hicho hapo vitu alivyokuwa anatakiwa kuongea ni kuhusu uchaguzi wenye amani na vitu ambavyo vitaenda kuleta tija wao kama chama kikuu cha upinzani wakivikazia dhidi ya serikali!.
wenzetu wanaangalia utaifa na sio chama!.
 
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sixty Nyahoza, azomewa na umati wa watu baada ya kutaja 4R za Rais Samia kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Uchaguzi huo unafanyika leo, Januari 21, 2025, Mlimani City kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho.

Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
[

Naona kuna Ofisi nyeti za umma zimekaliwa na mataahira. Kicheko gani hicho sasa!
 
Back
Top Bottom