Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawezi kufanya siasa kwa mtizamo huo nchi hii.

Subiri ashinde tutarudi hapa Kujadili hili.
Hatuko tayari kwa siasa za kujinyenyekeza na huku hupati chochote. Ni bora cdm wapambane na wasipate chochote lakini waache tukiwa hatuna maelewano, kuliko kukosa chochote huku ukijipendekeza.
 
Hatuko tayari kwa siasa za kujinyenyekeza na wala hupati chochote. Ni bora cdm wapambane na wasipate chochote lakini waache tukiwa hatuna maelewano, kuliko kukosa chochote huku ukijipendekeza.
Na tutakosa kweli, ama la twende tatatibu tutafika, mvumilivu hula mbivu, mtaka yote kwa pupa hukosa yote.

Ofisi ya msajiri ni spana tosha, na ikulu ndio mwisho wa reli, hawa polisi ni mkanda ukikubana unaweza kuulegeza.
 
Bumunda Hilo, Yaani Wapi Aseme Nini,Wakati Gani
Yeye Anasifia Tu
 
Wakati akitoa Salam za Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Nyahoza Kwa niaba ya Jaji Mutungi alisema " tangu jana nimehudhuria Baraza Kuu na Leo Mkutano mkuu hakika nimeshuhudia Demokrasia iliyotukuka ndani ya Chadema na Kwa hili nampongeza sana Mh Mbowe, nashauri VYAMA VYOTE VYA SIASA VIIGE HII DEMOKRASIA"

Vyama VYOTE vya siasa Maana yake na CCM imo

Ndio nauliza Kaimu Msajili wa Vyama vya siasa Mh Nyahoza yuko Sahihi Kwamba na sisi CCM tuige?!

Nimekaa pale 🐼
 
Naona unamsagia kunguni Sist Nyahoza akose usajili maana CCM fitna na majungu ndo vitu mnavyoweza hakika🤣🤣🤣
 
Wakati akitoa Salam za Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Nyahoza Kwa niaba ya Jaji Mutungi alisema " tangu jana nimehudhuria Baraza Kuu na Leo Mkutano mkuu hakika nimeshuhudia Demokrasia iliyotukuka ndani ya Chadema na Kwa hili nampongeza sana Mh Mbowe, nashauri VYAMA VYOTE VYA SIASA VIIGE HII DEMOKRASIA"

Vyama VYOTE vya siasa Maana yake na CCM imo

Ndio nauliza Kaimu Msajili wa Vyama vya siasa Mh Nyahoza yuko Sahihi Kwamba na sisi CCM tuige?!

Nimekaa pale 🐼
Huyo amechoka kukaa kwenye hiyo nafasi anataka kwenda kulima kijijini.

Angemuuliza Tido Mhando kwanza ili ampe wasifu wa ccm.
 
Ka video kidogo ili turinge Nako!

Mh. Mwenyekiti TUNDU LISU ameamka salama! Anawasalimia sana
 
Naona upo kimya sana baada ya Lissu kushinda uenyekiti Chadema.

Vipi umeona matokeo lakini?
Sijawahi kuwa Chadema, wala washirikina ccm ndio sitaki kuwasikia kabisa, Chadema imeonesha demokrasia kwa uwazi.

Mliokuwa mnataka utapeli wa ccm kuleta jina kwenye bahasha ndio mjiulize sasa.
 
Wakati akitoa Salam za Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Nyahoza Kwa niaba ya Jaji Mutungi alisema " tangu jana nimehudhuria Baraza Kuu na Leo Mkutano mkuu hakika nimeshuhudia Demokrasia iliyotukuka ndani ya Chadema na Kwa hili nampongeza sana Mh Mbowe, nashauri VYAMA VYOTE VYA SIASA VIIGE HII DEMOKRASIA"

Vyama VYOTE vya siasa Maana yake na CCM imo

Ndio nauliza Kaimu Msajili wa Vyama vya siasa Mh Nyahoza yuko Sahihi Kwamba na sisi CCM tuige?!

Nimekaa pale 🐼
Waige kweli wazee wa force king
 
Back
Top Bottom