Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe atakuwa amekasirika mno
1000021069.png
 
Wanazukitaa 4R za Samia, huku KM.Mnyika anazisifia kupitia maridhiano, na ruhusa ya kufanya maandamo.
 
Amejiabisha kwa kuonesha kichwani kwake ni kada wa CCM, hizo R4 ni za mwenyekiti wa ccm. Yeye kama msajili wa vyama vya siasa hapaswi kushadidia falsafa za vyama kwa kuwa kila chama kina sera na falsafa zake
Bravo Brother. Kiufupi huyu ni referee, tena wa zaidi ya timu mbili ( zaidi ya referee wa mpira). Kwa muktadha huo, hakupaswa hata kidogo kuongelea falsafa ya chama chochote, kufanya hivyo anakosa sifa ya kuwa referee. Cha ajabu, ndo anakenua meno yenye mapengo. Hakika mabumunda ni mengi sana
 
Back
Top Bottom