Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Watu wazima ila hawajui chakuongea huyo akiwa na cheo hicho hapo vitu alivyokuwa anatakiwa kuongea ni kuhusu uchaguzi wenye amani na vitu ambavyo vitaenda kuleta tija wao kama chama kikuu cha upinzani wakivikazia dhidi ya serikali!.
wenzetu wanaangalia utaifa na sio chama!.
 
Amejiabisha kwa kuonesha kichwani kwake ni kada wa CCM, hizo R4 ni za mwenyekiti wa ccm. Yeye kama msajili wa vyama vya siasa hapaswi kushadidia falsafa za vyama kwa kuwa kila chama kina sera na falsafa zake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…