Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa azomewa baada ya kutaja 4R za Samia kwenye Uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijawahi kuwa Chadema, wala washirikina ccm ndio sitaki kuwasikia kabisa, Chadema imeonesha demokrasia kwa uwazi.


Mliokuwa mnataka utapeli wa ccm kuleta jina kwenye bahasha ndio mjiulize sasa.
Braza sio wewe uliyekuwa unasema Lissu hashindi? Au ndo umebadili gia angani?
 
Ndyo kuna haja ya CCM kuchukua funzo kubwa sana kwenye Demokrasia ya Chadema, kuliko kupitishana tu bila kwenda kuchukua fomu na kufanya uchaguzi.
 
Aliruhusiwa na nani kuingia kwenye Mkutano wa Chadema?
 
Hao ni nyumbu hawana akili na wamelewa tayari. Alijitakia alienda kufanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…