THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Kama mtu Yuko gerezani Bado ana ushawishi mtaani huoni nyie mmeshataliwa na wananchi ??Friends and Our Enemies,
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.
Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mjewa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...
Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...
Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.
Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.
Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Sasa chadema ambayo haikufanya kampeni inawashindaje watu waliotembea na malori nchi nzima mkuuBunge ni chama kimoja lingeamua kufuta kabisa mfumo wa vyama vingi. Hawa akina majalio paul kyara sijui.mwajuma hawana value addition yoyote
Dawa ni kukifuta hiki chamaKama mtu Yuko gerezani Bado ana ushawishi mtaani huoni nyie mmeshataliwa na wananchi ??
Yaani viongozi wa chadema mmewafunga gerezani lakini wanawashinda ushawishi mnaamua kutumia jeshi
Kubalini mmekataliwa na watanzania
Wakubali kukataliwa na watanzania waache visingingizio kama maexUkiambia ile Mavi utakula
Wewe ni mpumbavuDawa ni kukifuta hiki chama
Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani
Wewe ni mpumbavu
Hata mkifuta chadema mnafikiri ndo mtakubalika
Au kuondoa upinzani
Mbona mna akili za kizee namna hiyo kwenye Karne ya 21
Najua mpambavu haelimiki labda Kwa faida ya wengineMachafuko na hizo damu zilizomwagika zina mkono wa chadema kwa kushirikiana na wanaharakati wao uchwara kama pole pole,gwajima,maria sarungi na mange kimavi.
Udini unawasumbua nyinyi ndiyo maana mnamchukia samia na kumfanyia kila aina ya zengwe,na kwa kuwa mmeonesha rangi yenu wazi wazi basi tunawaambia hamtashinda kwenye vita hiiZaidi ya udini na hewa kichwani, ni mavi tuu tumboni yamekujaa 🤮🤮💩
Kwa hiyo chadema ndo walichukua bunduki kuwapiga wananchiHatuwezi kukaa na chama kinachohubiri chuki na kuchochea umwagaji wa damu kisha tukakichekea,dawa ya chama hiko ni kukifuta tuh
Silaha ya maneno na uchochezi ni kubwa kuliko bunduki,hata mauaji ya kimbari uchochezi ulianzia makanisani,kwa wanasiasa na vyombo vya habariNajua mpambavu haelimiki labda Kwa faida ya wengine
Hao wote Kuna ambaye alikutwa na silaha yoyote ?
Chadema ndiyo chanzo cha uchochezi wa hizo vurugu wakiwa na wanaharakati wenzao...dawa ya hiko chama ni kukifutilia mbaliKwa hiyo chadema ndo walichukua bunduki kuwapiga wananchi
Kubalini mmekataliwa na watanzania acheni kujishika Kwa chadema
Kwani vita si mliachiwa wenyewe nani alikuwa anashindana na nyieUdini unawasumbua nyinyi ndiyo maana mnamchukia samia na kumfanyia kila aina ya zengwe,na kwa kuwa mmeonesha rangi yenu wazi wazi basi tunawaambia hamtashinda kwenye vita hii
Mtajua hamjui kenge nyinyi,hiko chama lazima kifutwe...hatuwezi kuwa na chama cha kigaidi kama hiko nchini.Imagine, mtu ni mpumbavu afu anatoka mbele kuthibitisha kuwa ni mpumbavu