Msajili wa vyama vya siasa ni vema uifute CHADEMA kwa kuwa Chanzo cha Machafuko nchini

Chadema ndiyo chanzo cha uchochezi wa hizo vurugu wakiwa na wanaharakati wenzao...dawa ya hiko chama ni kukifutilia mbali
Samahani inawezekana nashindana na mwehu .
Maana damu za watu haziwezi kukuacha uwe timamu
 
Mungu hadhihakiwi na atakulipa unachostahili
 
Sasa si wanahamia tu chama kingine au kuasis kingine!

NB:Uzuri hao jamaa hawakuangalia hata sijda hadi masheikh wamekula chuma.

Nasikia Sharif Majini naye kapitiwa
 
Kukifuta chadema siyo jibu la kuthibiti mawazo wasiyoyapenda watawala. Chadema ni jukwaa tu.
Fikiria chadema viongozi wake wote wakuu wako mahabusu, chadema hairuhusiwi kufanya shughuli zake, inapambana na kesi ya mgawanyo wa mali, haijashiriki uchaguz mkuu, lakini bado inasumbua watawala.

Nchi imefika ilipofika kwa sababu ya Serikali ya samia na vyombo vyake vya ulinzi na usalama na ccm yake, mahaka ya Tanzania, msajiri wa vyama vya siasa na DPP. Hawa hawatakiwi kukalia hizo ofisi.
Hao wakishatoka madarakani washiyakiwe, tuvunje muungano uliopo na tuungane upya.
 
Kwani kuna machafuko nchini waliouwawa ni wageni kutoka nchi za nje ndo wamekuja kufanya vurugu na maandamano Rais aliyechaguliwa kwa 98% hiyo nchi inaweza kua na machafuko wakati anapendwa na wananchi wote ameapishwa kwenye uwanja wa Taifa watu wote wamuone Wewe ni Mpumbavu Big show unasumbuliwa na Udini ukweli CCM wangeleta mtu mwingine kwenye kugombea Urais tusingeona aya mambo polepole alisema tukapuuza duniani ya sasa sio ya miaka hiyo Chadema wangeshirika aya maandamano hali ingekua mbaya sana Acha kuisha kwa Mazoea pumbavu
 
Hicho chama kifutwe
 


Chanzo ni wizi wa kura na ujinga wenu na mpaka watu wa dini waliwaambia. Mkiwafuta Chadema ndiyo wataenda kujiunga nao kisawa sawa! na mnatakiwa kufikiria kesi yenu ambayo wanaiandaa huko Holland. Mtakuwa mnajiongezea matatizo bure. Mjue tu Tanzania sio ile tena.
 
Hatuwezi kukaa na chama kinachohubiri chuki na kuchochea umwagaji wa damu kisha tukakichekea,dawa ya chama hiko ni kukifuta tuh
Chama gani mzeee CDM imezuiliwa japo kufanya kikao cha ndani hata kimoja acha mikutano ya hadhara kwa siku zaidi ya 90 mpaka sasa wanashawishi vipi watu?.

Mkubali tu nyakati zinahitaji mabadiliko na ccm hamtaki kubadilika, mtu kama Polepole, Bashiru, Antony Mtaka, Dotto bitteko mkiwatumia vizuri ccm itakubalika na wananchi nasio kujaza mapopoma kisha jumba bovu muwape CDM.
 
Kama mtu Yuko gerezani Bado ana ushawishi mtaani huoni nyie mmeshataliwa na wananchi ??

Yaani viongozi wa chadema mmewafunga gerezani lakini wanawashinda ushawishi mnaamua kutumia jeshi

Kubalini mmekataliwa na watanzania
Ana ushawishi labda kwa wajela jela wenzake tuh mwehu yule.

Na kwa vichaa ambao mnamshangilia
 
Chama gani mzeee CDM imezuiliwa japo kufanya kikao cha ndani hata kimoja acha mikutano ya hadhara kwa siku zaidi ya 90 mpaka sasa wanashawishi vipi watu?.
MKono wa serikali ni mrefu,wameshabainika na wasubirie tuh kufutwa kwa hiko chama
 
Msije kujikuta mnatengeza Tanganyikans patriotic fronts look swala hapa ni Dialogue sio provocation.
No,kifutwe hicho chama, halafu tuone hiyo tanganyika patriotic front..chama kazi kuchafua nchi,kushirikiana na nchi jirani kuvuruga nchi
 
Watu wa dini gani unawazungumzia,vichaa kama gwajima au wale wafia dini za chuki dhidi ya samia?

Dawa kwanza ni kukifuta hiko.chama
 
MKono wa serikali ni mrefu,wameshabainika na wasubirie tuh kufutwa kwa hiko chama
Lissu yupo mahakaman kwa maneno uliyoyaandika na hata kesi inaonyesha atashinda. Njoon na mpango mkakati ccm wakuweka watu wenye akili kwenye maamuzi mtarudisha imani ya wananchi.
 
Lissu yupo mahakaman kwa maneno uliyoyaandika na hata kesi inaonyesha atashinda. Njoon na mpango mkakati ccm wakuweka watu wenye akili kwenye maamuzi mtarudisha imani ya wananchi.
Alisema tukinukishe pasikalike,na kweli kikanuka hapakukalika,sasa akae huko ndani milele,kesi ipelekwe June
 
Haya screenshot mtumie mhasibu ili kesho mapema akupatie pesa ya tende
 
Kwani vita si mliachiwa wenyewe nani alikuwa anashindana na nyie

Upumbavu ukizidi unakua taahira
Na mlipohamasisha wale watoto waingie road kufanya vurugu vipi,unadhani hilo litaachwa lipite hivi hivi.?
Sasa si wanahamia tu chama kingine au kuasis kingine!

NB:Uzuri hao jamaa hawakuangalia hata sijda hadi masheikh wamekula chuma.

Nasikia Sharif Majini naye kapitiwa
Vyovyote vile ongeeni,ila hiko chama chenu lazima kifutwe ili tuone jeuri yenu mnaitolea wapi wahuni wahamasisha fujo na vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…