KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Hakuna nanma mtapambana na nyakati. Waliozaliwa miaka ya 80,90 na 2000 ndio wengi, hawana unasaba na ccm. Badilikeni mfanye yaliyo mema wananchi watawapenda tu na uzuri wanamkubali mtu bila kujali chama chake.Alisema tukinukishe pasikalike,na kweli kikanuka hapakukalika,sasa akae huko ndani milele,kesi ipelekwe June
Kujenga mwendokasi siyo jambo jema,mbona wamechoma?..hawapewi mikopo vyuoni?..hayo mema yapi?Hakuna nanma mtapambana na nyakati. Waliozaliwa miaka ya 80,90 na 2000 ndio wengi, hawana unasaba na ccm. Badilikeni mfanye yaliyo mema wananchi watawapenda tu na uzuri wanamkubali mtu bila kujali chama chake.
Una mtisha nani wewe fa.la?Siku yako yaja, kama unadhan Samia atakulinda siku zote, siku yako yaja, na bahati nzuri JF huwez kufuta Nyuzi.
Kujenga mwendokasi siyo jambo jema,mbona wamechoma?..hawapewi mikopo vyuoni?..hayo mema yapi?
Kila mwenye Akili na uelewa wa mambo anajua wewe ndiyo umefanya uhalifu makusudi ili upate kisingizio cha kuwabambikia kesi za uongo chadema, hilo halina ubishi hata ufanye ushetani wako wote wenye Akili Timanu hawatakaa waamini propaganda zako za kijingaFriends and Our Enemies,
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.
Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...
Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...
Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.
Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.
Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Wapambe na kauli zenu chafu za kiarabu zimetufikisha hapa tulipo. Tarehe 30 mwenye story za kitaani akasikika muarabu mwenye chuki akilaumu watu wa kaskazini kuwa wamechoma mabus yao tu na wameacha mabus ya wachaga wenzao kama Kilimanjaro n.k kumbe nikaambiwa ratco ni ya mtu wa kaskazini, waarabu na dini Yao wanatuletea shida tz waache chuki za kipumbavu,Friends and Our Enemies,
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema nia yao ni kukinukisha ndani ya nchi hii ili matakwa yao ya katiba mpya na tume huru yaweze kufanyiwa kazi na mahasimu wao ccm.
Nanukuu kauli ya Lisu "Nyinyi wananchi kama mmejawa na uoga,kama hamtaki kuingia barabarani kupigania haki zenu,basi msilalamike,muache kulalamika,haki haipatikani kwa kuomba,haki inapatikana kwa kuidai kwa nguvu" ...mwisho wa kunukuu...
Kauli nyingine ya lisu..."kwa kuwa hawa jamaa wamegoma kukaa mezani,na wameonesha nia ya kutotaka majadiliano,dawa yake ni kukinukisha,tukikinukisha hapa.,watu wakaingia barabarani na kikawaka,hawa watakuja kukaa na kuelewa lugha yetu."..mwisho wa kunukuu...
Hayo na mengine mengi ni baadhi ya kauli ambazo chadema wamekuwa wanazitoa kuchochea fujo na umwagaji wa damu nchini.
Sasa kwa kuwa watu hawa siasa zimewashinda,msajili wa vyama vya siasa nchini usiwe na kigugumizi katika suala zima la kukifutia usajili chama hiki.
Kifute chama hiki kabla hakijazidi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwa mgongo wa demokrasia.
Wewe na Genge lako ndiyo mpuunzi mmefanya uhalibifu wenyewe ili upate kisingizio cha kuwabambikia kesi chadema acha upumbavu wako Tambua watanzania wameamka wanajua mbinu zako zenu zoteHawa wapuuzi wanachojua wao ni matusi tuh na fujo,sasa wapuuzi wanaenda kuchoma mali za watu na kuharibu miundombinu,wakishughulikiwa wanapiga kelele...
wale walipangwa waje ku initiate mapinduzi,wamefeli
Nonsense.Machafuko na hizo damu zilizomwagika zina mkono wa chadema kwa kushirikiana na wanaharakati wao uchwara kama pole pole,gwajima,maria sarungi na mange kimavi.
Na wewe ni mmoja wa majizi wa rasilimali za taifa letu.Udini unawasumbua nyinyi ndiyo maana mnamchukia samia na kumfanyia kila aina ya zengwe,na kwa kuwa mmeonesha rangi yenu wazi wazi basi tunawaambia hamtashinda kwenye vita hii
Kianze kufutwa chama cha utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo chadema kuiba kura kutumia polisiccm kuwanyanyasa wakosoaji na wapinzani ambao wapo kisheria, anza kufuta CCM chama cha uonevu kwanzaMtajua hamjui kenge nyinyi,hiko chama lazima kifutwe...hatuwezi kuwa na chama cha kigaidi kama hiko nchini.
ifutwe ccm kwa kutengeneza uchaguzi wa maigizo na Tume ya ccm kuja na matokea ya kura za mifukoni, futa ccm kwa utekaji mauaji ufisadi na mambo ya hovyoMtajua hamjui kenge nyinyi,hiko chama lazima kifutwe...hatuwezi kuwa na chama cha kigaidi kama hiko nchini.
Mnakifuta lini?Dawa ni kukifuta hiki chama
Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani
ccm ndiyo chanzo cha ufisadi wizi wa kura utekaji mauaji kuwabambikia watu kesi za uongo ccm ifutiliwe mbaliChadema ndiyo chanzo cha uchochezi wa hizo vurugu wakiwa na wanaharakati wenzao...dawa ya hiko chama ni kukifutilia mbali
Waanze kufuta ccm ya kishetani kwanzaMnakifuta lini?
Futa ccm inayofanya unyama kuua kuwateka kuwabambikia kesi za uongo watu, kuiba kura kufanya ufisadiDawa ni kukifuta hiki chama
Na ndiyo chanzo cha haya machafuko na uvunjifu wa amani
Muungano ulipaswa ufe sasa ili kukwepa uonevu manyanyaso ya Polisiccm kwa chadema kwa Amri za mashetani wa ccmKukifuta chadema siyo jibu la kuthibiti mawazo wasiyoyapenda watawala. Chadema ni jukwaa tu.
Fikiria chadema viongozi wake wote wakuu wako mahabusu, chadema hairuhusiwi kufanya shughuli zake, inapambana na kesi ya mgawanyo wa mali, haijashiriki uchaguz mkuu, lakini bado inasumbua watawala.
Nchi imefika ilipofika kwa sababu ya Serikali ya samia na vyombo vyake vya ulinzi na usalama na ccm yake, mahaka ya Tanzania, msajiri wa vyama vya siasa na DPP. Hawa hawatakiwi kukalia hizo ofisi.
Hao wakishatoka madarakani washiyakiwe, tuvunje muungano uliopo na tuungane upya.
Ufanye fujo wewe na mashetani wenzako kisha uwasingizie chadema? Futa ccm kwani imefanya maovu mengi sana ikiwemo uchaguzi wa maigizo na kujipa ushindi haramu kwa TumeccmNa mlipohamasisha wale watoto waingie road kufanya vurugu vipi,unadhani hilo litaachwa lipite hivi hivi.?
Vyovyote vile ongeeni,ila hiko chama chenu lazima kifutwe ili tuone jeuri yenu mnaitolea wapi wahuni wahamasisha fujo na vurugu