Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Wivu tu."Mzee yule anaheshimika sana Arusha"
Kama anaheshimika akagombee tuone kama atapata Ubunge...
CCM huwa mara nyingi inachagiliwa na watu wasio na elimu na wasio jitambua kabisa...!
Na baadhi ya mazuzu yanayo onelea kila kitu ndiooooo....!
Wafanyakazi hawaongezwi mishahara, wastaafu pensheni imekopwa kwenye mifuko ya jamii hakuna kitu,
Wastaafu wanalia lia tu huku mitaani...!!
Lakini CCM ikiwa jukwaani kujinadi utasikia tumefanya hivi mara vile na wapumbavu wasio fikiria utasikia ndioooo.......... Na kina mama wasio kuwa na future na watoto wao utasikia wakisema, sema babaaaaaaa......,!
Mbowe,Lema,sugu,Bulaya wana elimu gani?CCM huwa mara nyingi inachagiliwa na watu wasio na elimu
Akikujibu unitagMbowe,Lema,sugu,Bulaya wana elimu gani?
Wewe utakuwa umejua siasa majuzi kwa fikra za namna hii.Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu pengine hata saa mbili na nusu asubuhi haitafika!
Pili mara tu atapo kuwa mbunge ndugu Rais atamteua kuwa Waziri wa maliasili na utalii [emoji4].
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Si walisema ni msomali, Kigwangala hatoshi ama Jiwe kamchoka anavyoshinda mitandaoni kubishana utoto?Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu pengine hata saa mbili na nusu asubuhi haitafika!
Pili mara tu atapo kuwa mbunge ndugu Rais atamteua kuwa Waziri wa maliasili na utalii 😊.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Kuna Elimu dunia na Elimu ya Darasani.Mbowe,Lema,sugu,Bulaya wana elimu gani?
Sio wivu hapo roho inakuuma..Wivu tu.
Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu pengine hata saa mbili na nusu asubuhi haitafika!
Pili mara tu atapo kuwa mbunge ndugu Rais atamteua kuwa Waziri wa maliasili na utalii 😊.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Wewe ulikua unazungumzia elimu ipiKuna Elimu dunia na Elimu ya Darasani.
Unataka nikujibu ipi..!?
Wewe ndio uko na wivu. Mimi hapana Kinana akipewa nafasi anatusua.Sio wivu hapo roho inakuuma..
Wakati wewe unataka kujibiwa ulitaka ujibiwe ipi au iliandika tu...!?Wewe ulikua unazungumzia elimu ipi
Msigwa kashindwa kesi mahakamani iliyofunguliwa 2013 na Kinana baada ya kumtuhumu mambo kibao wala siyo msukumo wa UUNGWANA.Muungwana ni vitendo
Majuzi Mchungaji Msigwa kamuomba radhi Kinana tena hadharani... naye Kinana Leo hii anamuomba radhi Magufuli
Goes around comes around..