Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

"Mzee yule anaheshimika sana Arusha"

Kama anaheshimika akagombee tuone kama atapata Ubunge...

CCM huwa mara nyingi inachagiliwa na watu wasio na elimu na wasio jitambua kabisa...!
Na baadhi ya mazuzu yanayo onelea kila kitu ndiooooo....!

Wafanyakazi hawaongezwi mishahara, wastaafu pensheni imekopwa kwenye mifuko ya jamii hakuna kitu,

Wastaafu wanalia lia tu huku mitaani...!!

Lakini CCM ikiwa jukwaani kujinadi utasikia tumefanya hivi mara vile na wapumbavu wasio fikiria utasikia ndioooo.......... Na kina mama wasio kuwa na future na watoto wao utasikia wakisema, sema babaaaaaaa......,!
 
Akijaribu tu kugombea! Wananchi watakumbushia kile kilichomfamya akaacha kugombea ubunge 1995....
Hivi VIP Dry cleaners bado IPO??
 
"Mzee yule anaheshimika sana Arusha"

Kama anaheshimika akagombee tuone kama atapata Ubunge...

CCM huwa mara nyingi inachagiliwa na watu wasio na elimu na wasio jitambua kabisa...!
Na baadhi ya mazuzu yanayo onelea kila kitu ndiooooo....!

Wafanyakazi hawaongezwi mishahara, wastaafu pensheni imekopwa kwenye mifuko ya jamii hakuna kitu,

Wastaafu wanalia lia tu huku mitaani...!!

Lakini CCM ikiwa jukwaani kujinadi utasikia tumefanya hivi mara vile na wapumbavu wasio fikiria utasikia ndioooo.......... Na kina mama wasio kuwa na future na watoto wao utasikia wakisema, sema babaaaaaaa......,!
Wivu tu.
 
Mbowe,Lema,sugu,Bulaya wana elimu gani?
Akikujibu unitag

Lakini pia mkumbushie Lijualikali pa1 na kwamba amewahama chama lakini alikuwa ni mbunge kwa tiketi ya chama chao je nae ana elimu gani?
 
Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.

Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu pengine hata saa mbili na nusu asubuhi haitafika!

Pili mara tu atapo kuwa mbunge ndugu Rais atamteua kuwa Waziri wa maliasili na utalii [emoji4].

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Wewe utakuwa umejua siasa majuzi kwa fikra za namna hii.
 
Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.

Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu pengine hata saa mbili na nusu asubuhi haitafika!

Pili mara tu atapo kuwa mbunge ndugu Rais atamteua kuwa Waziri wa maliasili na utalii 😊.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Si walisema ni msomali, Kigwangala hatoshi ama Jiwe kamchoka anavyoshinda mitandaoni kubishana utoto?
 
[SUB]Na agombee tu, alichafuliwa sana nawa watu wenye uchu wa madaraka, mchafuaji eti atake Urais,labda wa ndondi![/SUB]
 
hongera sana mzee kinana.
waswahili husema ungwana ni vitendo, hakika umeonyesha ungwana kwa vitendo, wewe ni mtu maalum na muhimu sana sio tu kwa ccm bali kwa nchi nzima
 
Duru za hakika kabisa zinatabanaisha ndugu Kinana huenda akagombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.

Sababu kuu mbili zilizo mfanya agombee ubunge ni kwanza mzee yule anaheshimiwa mno na wana Arusha na sifa hiyo pekee uhakika wa yeye kutangazwa mshindi itakuwa mapema tu pengine hata saa mbili na nusu asubuhi haitafika!

Pili mara tu atapo kuwa mbunge ndugu Rais atamteua kuwa Waziri wa maliasili na utalii 😊.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.

Anaheshimika mno na wana Arusha wapi?? Mzee apumzike tu watu bado wanakumbuka zile mashine za kufulia nguo
 
Safi sana mzee kinana, umetenda jambo la kistaarabu sn kumuomba radhi Rais, hadharani,
 
Muungwana ni vitendo

Majuzi Mchungaji Msigwa kamuomba radhi Kinana tena hadharani... naye Kinana Leo hii anamuomba radhi Magufuli

Goes around comes around..
Msigwa kashindwa kesi mahakamani iliyofunguliwa 2013 na Kinana baada ya kumtuhumu mambo kibao wala siyo msukumo wa UUNGWANA.
 
Back
Top Bottom